Umeandika hoja fikirishi sana hapa.Mpambano huu wa Zitto kabwe unaletwa kwenu kwa udhamini wa Chama cha Mapinduzi
Chadema pamoja na kudai walimtambua Zitto kuwa ni Mamluki wa Chama cha Mapinduzi tangu 2009 alipochukua fomu kupambana na Mh.Mbowe lakin bado ilipofika 2010 chama chake kilimteua kuwa Mgombea Ubunge Kigoma Kaskazini na aliposhinda uchaguzi wakasema kasaidiwa na Kikwete
Ilipofika chadema wapeleke jina la Mwenywkiti wa kamati ya PAC bado chadema wakapeleka tena jina la Zitto na Spika akalibariki
Huenda Chadema na Zitto wote tajiri yao mmoja