Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,457
- 19,242
Ukitaka kujua kama siasa ina kisomo au la, linganisha zuma na rais wa south wa sasaivi.Siasa haina kisomo broo waangalie kina Bajaji na Musukuma ni STD 7 lkn wako bungeni ni watunga sheria.
linganisha zitto na mnyika, linganisha samia na mbowe DJ aliyekimbia shule.