Majibu ya zile nafasi za kazi Nhc.

MsakaGamba

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
392
141
Mtakumbuka kuwa nhc walitoa nafasi mbalimbali za kazi tangu mwezi wa 4 moja wapo za nafasi ikiwa ni zile za call centre supervisor, naza uhasibu.
Naomba kujuzwa vipi kuna watu walishaitwa kwenye usaili au bado? Kama tayari waliitwa lini? Kama bado wanatoa lini majina au wanaita lini watu kwenye usaili?
Nimepigwa chini customer assistance Tra, nimepigwa chini Tanapa, nimepigwa chini bima ya afya sasa napumulia mashine.
Nikipata majibu yenu huenda yakawa faraja ya matumaini kwangu.
 
pole sana mkuu,
usikate tamaa, MVUMILIVU HULA MBIVU
 
Mkuu.
Uvumilivu huendana na kujua na kupata taarifa kwa wakati. Umenishtua kunitaka niendelee kuwa mvumilivu wakati sijapata majawabu ya hoja ya awali. Naumia sana mkuu naona umaskini wa familia unavyokuwa kikwazo kwangu.
 
Back
Top Bottom