Majibu ya Yussuf Makamba kwa waandishi wa habari

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
Wana mjengo wa JF naomba tutafakari kuhusu majibu ya Bwana Makamba anapoulizwa maswali na waandishi wa habari na kutoa majibu ya mkato au hata kung'aka je ni kutoelewa swali na kukwepa swali, umbumbumbu au ndiyo kama yale matangazo ya haki elimuuu! :A S-baby:
 
Najua nia ni yako ya kuanzisha mada hii ni njema ila labda ungeweka ni maswali yapi hayo na ni mkutano gani huo unaongelea ingewapa ufahamu wachangiaji wengi kujua ni nini wachangie. Binafsi sijui ni nini zaidi unaongelea hapa. Naomba kuwaklisha Mkuu.
 
Ungeweka video ya huo mdahalo ingekuwa bomba sana
 
Lets discuss s'1 else.....i dont think if makamba is the 1..................ELIMU DUNI................Full uzoefu na ujuana kwishney.......
 
tukianzisha mashindano ya kutafuta looser kwenye wanasiasa wetu Makamba ataibuka mshindi.... atapigiwa kura nyingi na atashinda kwa Kishindo bwana..... Hebu fanya nani zaidi kati ya Makamba na Mrema lol au hata Kikwete:nono:
 
mmmh!makamba nae mtu?poor him hata hajitambui yeye ni wa aina gani!msameheni bure
 
Wana mjengo wa JF naomba tutafakari kuhusu majibu ya Bwana Makamba anapoulizwa maswali na waandishi wa habari na kutoa majibu ya mkato au hata kung'aka je ni kutoelewa swali na kukwepa swali, umbumbumbu au ndiyo kama yale matangazo ya haki elimuuu! :A S-baby:

Ningekuwa JK ningemfukuza kazi Makamba na Kinana, na kuwanyang'anya kadi za uanachama.
 
ni jambo la kawaida kwa viongozi wa ccm hata mh J Mnyika alisema wamelewa madaraka
 
Back
Top Bottom