GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Miaka mingi walimu wamekuwa wakichezewa chezewa sana.mara ya mwisho kuwa na heshima ilikuwa kipindi cha Nyerere na Mwinyi kiasi flani.
Baada ya hawapo wamekuwa ni kada ya kutumika na asilimia kubwa wamekubali kuwa wakitumika. Wametumika sana. Mpaka ndugu Paul Makonda naye alipokuja kuwatumia kwa namna yake.
Wengine walishtukia kuwa wanatumika na kuna wengine ambao hawakulijua hilo wakajikuta wanatumika kwa aibu zaidi. Makonda aliibuka na utaratibu wa ajabu eti walimu wawe wanapanda daladala bure.
Huu ulikuwa ni aina flani ya udhalilishaji kubwa sana kwa kada hii. Nakumbuka baadhi ya daladala zilivyokuwa hazisimami vituo vilivyo maeneo yenye shule kwa kuogopa kubeba "mawe" walimu walikuwa wakidhalilika na wakati flani kulazimika kutembea umbali mrefu kupandia vituo vya mbali.
Walianza kuwaza namna wanavyonyanyasika. Wakajiombolezea kimya kimya kama kawaida yao. Na sasa wametoa majibu kwa matokeo ya kidato cha nne Dar es salaam ina shule nyingi zilizofanya vibaya.
Je, hii ni kujaribu pia kumdhalilisha mkuu wa mkoa kama alivyowadhalilisha wao?
Samaki ana mengi ya kusema lakini tatizo mdomoni kumejaa maji.