maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,283
- 15,524
Vodacom kujeni hapa mtuambie haya majibu ya uongo ya maswali yenu mnalengo gani na wateja wenu na ni kwa gharama ya nani? Tukiwashitaki kwa utapeli huu tutakua tunakosea? Majibu zaidi ya 10 mmeniambia Hapana wakati ni kweli, hebu nitafuteni tuongee kidogo.