Majibu ya uchaguzi Serikali za Mitaa yaanza kuonekana, wananchi waelezea hisia zao

Mbowe kazi yake ni kuhujumu upinzani tu, 2015 CCM walilegea vibaya mno akatuletea Lowasa kila kitu kikaharibika.CCM wakapata nguvu mpya.

Safarib hii serikali wamebanwa kwenye Kona na wafadhili kuhusu huu uchuguzi.

Mbowe amekuja amempasia kipa.
 
Kama kuna sehemu CCM na Magufuli walikosea pakubwa ni hapa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, wananchi waanza kutoa nyongo zao bayana kuhusu wenyekiti walioteuliwa walikilize baadhi ya wanakijiji wakitoa ya moyoni

Katibu mkuu ccm Njoo jibu hoja za hawa wananchi
 
Attachments

  • 1CD4CC45-7928-4823-A30A-DA55B2ADDB1A.png
    1CD4CC45-7928-4823-A30A-DA55B2ADDB1A.png
    150.9 KB · Views: 1
Kama kuna sehemu CCM na Magufuli walikosea pakubwa ni hapa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, wananchi waanza kutoa nyongo zao bayana kuhusu wenyekiti walioteuliwa walikilize baadhi ya wanakijiji wakitoa ya moyoni

Wasiojulikana will jump in kumshughulikia pamoja na hoja zake za msingi
 
Halafu anazungumza kutokea kwa Philip Mangula na Anna Makinda
 
Back
Top Bottom