Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

Sasa kama ubalozi wa marekani wamewakataa,makamanda wanashindwa nin kuingia bararan kuandamana??
 
TUKUMBUSHANE hivi lissu aliokoka kwa kukimbilia wapi vileee? pamoja na harakati za KAMANDA ZIRRO na vibaraka wake kutaka kumnyaka lakini mwishoe waliinua mikono. so usijisahaulishe dadangu
Usipoteze muda kuyajibu mauji hayo
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Sidhani kama kuna ubaya wowote kwa kueleza mambo kwa wamarekani,ni jambo la maamuzi na kuchagua.ndo maana ata nchi tumeenda kuchukua chanjo marekani ambayo ata uko marekani haifanyi vizuri na hatukuenda china au urusi ambako nako kuna chanjo.Na kama wewe ni mwanaccm sidhani kama unaweza kua na mrengo wa mawazo sawa na wafuasi wa cdm kwasababu cdm anakua mshindani wako kwahiyo waache wajiamulie wenyewe njia zakutatua changamoto zao ambazo kimsingi wewe ukutani nazo.Na sidhani kama hiyo barua kuna mahali wamarekani wameshurutishwa kwa lolote.Ata hivyo kama cdm wameandika ujinga ni wao maana ata wewe unaandikaga ujinga mwingi tu na hakuna aliyetilia maanani.Haya ni maisha na siasa ndivyo zilivyo.
 
What you wrote is Absolute Nonsense!!!
 
Ni maombi pekee ndiyo yatawatoa watu wetu kwenye fikra potofu eti ukitofautiana nao kifikra wanakuona mjinga, Demokrasia kwao ni kuachiwa wafanye fujo, ukiwakamata wanatafuta huruma wanasahau hata kukamatwa na kupelekwa mbele ya Sheria ni Demokrasia.Unaongea kibabe ILI ukamatwe ukikamatwa unapiga kelele!
Harakati za kisiasa siyo njia Sahihi ya kufikia mafanikio huwezi kuwa na ajenda za chama chako kimoja chenye watu wachache na kutaka kuhalalisha ajenda hizo kwa vyama na vikundi vyote vilivyopo kwenye nchi.
 
eti chama kinatarajiwa kuja kushika dola*serikali harafu kinaimiza jumuia za kimataifa kutunyima misaada awajui kama misaada ndio inaosaidia wananchi kupata maji,elimu,afya hapa wamechemsha watabaki na watu wa mitandaoni tu
 
CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
It’s both

kaitaka serikali ifuate sheria na chadomo waheshimu sheria

yeye Hana mamlaka ya kuingilia mahakama
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Halafu haohao tunaita mabeberu
 
eti chama kinatarajiwa kuja kushika dola*serikali harafu kinaimiza jumuia za kimataifa kutunyima misaada awajui kama misaada ndio inaosaidia wananchi kupata maji,elimu,afya hapa wamechemsha watabaki na watu wa mitandaoni tu
Hayo ni majukumu ya serikali kupitia kodi za Wananchi.Kumbe ndiyo maana hatuna Maji safi,Elimu bora na Huduma bora za afya kwa sababu tunategemea misaada ya wahisani(Mabeberu)?Wasipotoa hivyo misaada hayo mahitaji muhimu Wananchi wanakosa huku wanalipa kodi?
Kama ndivyo, CCM watuambie kwa miaka 60 wamweza kipi?Kuongeza tozo?Uchumi wetu wa kati chini umepotelea wapi?
Tunataka Katiba Mpya ili tulisuke upya Taifa letu maana CCM mmeisambaratisha.Mnakula mtaji kila mara na kujaza vitambi vyenu.
 
NDIYO WAKOME KUJIPENDEKEZA
Nadhani hujaelewa jibu la Balozi, fanya tafakuri ya kina uelewe alichoandika. Elewa maana ya "due process, elewa maana ya "person accused" kumbuka legal process haina abduction. Bila shaka hujasikia popote kuwa polisi wamewahi kumpa Mbowe wito wa kufika polisi kuhusiana na kesi hiyo hadi wamtegee huko Mwanza. Lakini kubwa kuliko yote tunaendelea kujenga mazingira ya chuki katika nchi ambapo muda si mrefu matokeo yake hasi yatamfanya kila mtu mhanga pamoja na wewe.
 
Askofu Mwamalanga amekosa heshima kwa vyombo vyetu vya sheria.
naamini anafahamu kabisa kuwa chombo chenye kutoa Haki ni Mahakama, sasa anapata wapi ujasiri wa kusema Mbowe kabambikiwa wakati bado kesi haijasikilizwa na kuamuliwa?!
Hivi huyu askofu mwamalanga nafahamu ju ya utawala wa sheria?
Hadi Mbowe kuunganishiwa na wenzake tufahamu kuwa kuna ushahidi dhidi yake. tusubiri tuache vyombo vyetu vifanye kazi zake kwa mujibu wa sheria.
Kama hawajakamilisha wanamshikaje
 
CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
Chukua hayo maandishi halafu weka edit, ndio utajua ni mwandishi mzuri ama laa.
 
Wewe ulitaka wakimbilie Chato????? Niambie Gadafi yuko wao??? Nani kamwondoa???
Nyie mafisiem amkeni kwenye usingizi!!!
 
HAJAWAJIBU KWAKUWA KAONA HAWANA HOJA YA MSINGI BALI NI KULETA VURUGU TU ZA KIJINGA NDIYO MAANA KAWAPUUZA NA KUTOA WITO TU KAZI WANAYO WAMEAIBIKA BAWACHA

Hujayaona majibu hapo? Tafuta mkalimani.

Ila nisiache kukwambia pana mtu kama 3 hapo mikia iko kunako stahili.

Hiiiiii bagosha!
 
CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
Kumbee awajui eeee..... CHADEMA wao wanajua. Wao siyo Watanzania

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom