Majibu ya Tundu Lissu kuhusu kumfuta uwanachama Waziri Mwakyembe

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573


Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS Tundu Lissu amezungumza na kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa za ukimya wake baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS ambapo mbali na hayo amezungumzia pia mchakato wa Katiba mpya na majukumu ya Rais wa TLS.

Kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV na millardayo.com Tundu Lissu amefunguka pia kuhusu issue ya kumfutia usajili Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe pamoja na utawala wa sheria nchini Tanzania.
 
Ungedokeza kidogo akili kubwa kasema nini.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom