Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

mbowe ndo mzalendo, hadi amempa heche sumu, kudai mabadiliko ya katiba ndani ya chama
Nakuuliza tena umemjua lissu lini?
Mie nimeanza kumjua tangu 1990s kwenye harakat zake za.kutetea watu huko migodini.Isije ikawa umemjulia Chadema mzee?Kuwa wazi tu
 
Najiuliza sana swali dogo tu kila nikiona post ya Lisu kiufupi nasubiri apost kuwa amepima yeye au kashuhudia upimaji wa huo mchanga na kajiridhisha kuwa hatuibiwi,nitamuelewa sana,tofauti na hapo aendelee kusoma takwimu na historia kwenye makaratasi hadi pale atakapo ikomboa nchi kwa takwimu na sheria
Nadhani hujamuelewa Mh. Lisu, anachodai yeye ni kuwa tunaibiwa kwenye Mikataba na siyo kwenye Madini.

Kwa hii fact hata Mimi namuunga mkono. Inatubidi kujadili na kubadili Mikataba ya Madini siyo mchanga.

Mikataba itatuwezesha kuzuia mchanga
 
Utadhuiaje madhara wakati ulikuwa na utashi na akili kipindi unaridhia miswaada mibovu na kandamizi ya madini ipite,afadhari angeonekana wa maana kama kipindi hicho alikuwa anapinga tungemsifia kwa hilo leo hi unasimamisha bodi nzima wakati baba yao Mkapa unamuacha kisa tu anakinga ya rais
Kwahiyo kwa sab hakupinga asipinge for good? Mbona swali rahisi tu.
 
Unasubiri mafisadi kuisha CCM mkuu? Unapoteza muda wako. Jiulize tangu magufuli aingie madarakani amewafukuza wangapi na bado anaendelea kila siku.lakini hawaishi. Jaribu kushangaa
Shangaa na wewe, kwani majizi yote yakifukuzwa ccm yanapokelewa upinzani kama mashujaa:D
 
Kweli Lisu alikuwa na mkanda wa mauaji anazunguka nao na Mrema kabla chadema hawajamrubuni.

Kama tumechukua miezi mitatu kupima sampuli tu tena makontena yaliyoko bandarini itatuchukua miaka mingapi kukokotoa makontena zaidi ya elfu arobaini yaliyokwisha safirishwa?

Hata hiyo ripoti week sasa bado ina upload! Sijui wanatumia mtangao wa millard ayo?

Ile ya watumishi hewa itangazwa saa nne saa saba iko mitandaoni, hii nadhan moderm ya msigwa imeishiwa bando ya mwezi.
 
Nadhani hujamuelewa Mh. Lisu, anachodai yeye ni kuwa tunaibiwa kwenye Mikataba na siyo kwenye Madini.

Kwa hii fact hata Mimi namuunga mkono. Inatubidi kujadili na kubadili Mikataba ya Madini siyo mchanga.

Mikataba itatuwezesha kuzuia mchanga
kwa jicho la haraka unaweza ukaniona bashite,najua kuelewa zaidi ya kusoma,We bnafsi unaona anamsaidia nani!!? Nchi yake isiibiwe tena au ACACIA!!? kumbuka kuzidi kutufananulia mikataba ni sawa na kuwapa nguvu ACACIA tena yawezekana anawakumbusha point za kujitetea na kushinda pia,mwisho wa siku hasara ni kwetu wote na sio ACACIA,yeye ni wakili,cha msingi achague mteja,TANZANIA awe mzalendo au ACACIA awe msaliti kama CCM walivyotuingiza mkenge,uchama baadae huko
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
For sure tume ime exagarate data yani kwa data zile Tz ni No1 world gold producer ,,,,Utafiti wa madini si sawa na kupima pH ktk maji!! Kuna uwezekano mkubwa kuwa tume imekosea sampling method &analysis teknology na wenda wakawa wametumia mannual analyisis ndo sababu hawataki kuweka report wazi!! Na tafiti za kitume siyo majibu kwa swala kama hili,,,,tunaitaji a number of research that will show precision or reproducability of the findings as creterion to have common understanding on matter! But already we have alot of research documents on the matter done in a neaty and smarty manner and unpressurized!
 
Elewa basi hoja ya Lisu. Anakuambia shida yetu ipo kwenye sheria na si vinginevyo.

Na kama hoja yako ni Lowasa, ni sheria ipi aliyowahi kuwajibishwa nayo na hao unawaita wazalendo mpaka leo tuone kuwa ni dhambi kushirikiana na mzee Lowasa? Taifa ni sheria na wala sio maneno na chuki.
 
Huyu ndiye mpiganaji wa ukweli sio yule mwingine anayetafuta kick kwa kufukuza mawaziri huku akijua tatizo lipo kwenye mikataba
Mkuu kumbuka pia hyu hyu aliwahi kumtaka kikwete atengue uteuzi wa muhongo leo analeta ngonjera zingine, siasa jambo moja la ajabu sana
 
Na ndiyo waliopitisha sheria za madini kwa ndiyoooooo! Tumefika hapa kwa sababu wabunge wa ccm wameshindwa kutambua jukumu lao la kikatiba ktk kuisimamia na kuishauri serikali!! Kwa hasara yoyote itakayoipata Tz ktk jambo hili ,,,ni vema wabunge wa ccm wakatwe mishahara yao kufidia hasara kwani ndiyo sababu ya yote haya!
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Ni hyu pia alisema amemumiss kikwete,ni yeye tu alitaka muhongo atenguliwe enzi za mkwele,leo hii ni hyu hyu lissu amekerwa na utenguzi wa muhongo

Siasa ni jambo la ajabu sana
 
Ilikuwa samaki,, sasa ni madini tutalipa fidia mpaka tukome na tuache uchama tunapopitisha sheria bungeni !!!
 
Katika mkataba kati ya ACACIA na serikali ni wapi panaposema kuwa ACACIA wanaweza kutudanganya kiasi cha dhahabu kilichopo ndani ya mchanga wanaosafirisha?

Mikataba haina uhusiano wowote na WIZI uliobainishwa katika huu mchanga uliokamatwa.

Focus on the issue at hand. Ni kweli mikataba ni mibovu. Hata CEO wa ACACIA amekiri hilo. Lakini hili sakata la mchanga halikusababishwa na mkataba mbovu. Ni WIZI, period.
Kwa akili yako maana ya mkataba mbovu unaelewaje? Na unipe madhara ya mkataba mbovu ili twende sawa
 
Back
Top Bottom