Majibu ya Tuhuma za Tundu Lissu, kuhusu Kufukuzwa kwa Mkurugenzi Azimina Mbilinyi

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
MAJIBU YA UJUMBE UNAOSEMEKANA KUTOKA KWA TUNDU LISSU JUU YA KUTENGULIWA KWA MKURUGENZI WA BAGAMOYO BIBI AZIMINA MBILINYI

Habari Watanzania.
Ninaandika haya ili kujibu tuhuma na hoja za kupotosha umma juu ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Bagamoyo Bi Azimina Mbilinyi aliyetenguliwa kazi yake tarehe 30/07/2016 kutokana na Mh. Rais kutoridhishwa na utendaji wake.
Nimeona meseji zinasambaa toka kwa Tundu Lissu (Tundu Lissu: Kufukuzwa kwa Mkurugenzi Azimina Mbilinyi, Rais Magufuli na Maono hafifu), na huyo Binti Mange Kimambi zenye lengo la kupotosha ukweli kuwa alitenguliwa kutokana na kutoa ushahidi dhidi ya CCM.

Sababu ya kuenguliwa huyu Mama ni kuwa Mh. Rais hajaridhishwa na utendaji kazi wake! na mie huko sintoingilia, ila kwa upande wa kesi zinazodaiwa na Lissu na huyo Mange kuwa eti ndio sababu, Basi nitawajuza ukweli kwakuwa mie nilikuwepo kwenye kesi zote ya Kilombero na Mlimba wakati huyo Mama anatoa ushahidi na Mashaidi wengine wote!

Ukweli ni kuwa Mama huyo aliongea uongo na uongo huo ni kutokana na fungu zito ambalo linadaiwa aidha alipata ama kuhaidiwa kupewa.

Mama huyu kwenye kesi hizo mbili alisema kuwa sio kweli na mpaka sasa hana taarifa kuwa kuna fujo zilitokea wakati wa utangazaji wa matokeo wa majimbo yote mawili kiasi cha baadhi ya majengo ikiwamo Mahakama ya Nyumba ya Wilaya kuchomwa Moto, na wala sio kweli kuwa yeye alilazimika kukimbia wakati fujo zimepamba moto na mabomu ya machozi kurushwa kutawanya watu waliokuwa wanafanya fujo na kurusha mawe Ukumbi wa kuhesabia na kutangazia matokeo, ambapo baadae alirudishwa chini ya uangalizi wa Polisi na ndipo akatangaza matokeo.

UKWELI ni kuwa siku hiyo fujo zilitokea kama alivyoulizwa huyo Mama na ni kweli yeye alikimbia na kurudishwa na polisi na hata kesi ilifunguliwa dhidi ya vijana takribani 20 kwa kuchoma hiyo Mahakama na mali nyingine za Serikali na watu binafsi kama kituo cha Radio na vijana hao ni wafuasi wa Lijualikali ambaye ni Mbunge wa Chadema. Sasa kwanini huyo Mama adanganye Mahakama wakati ukweli anaujua na yeye aliandaa ripoti ya tathmini ya vitu vilivyoharibika?

Mama huyu huyu alitangaza matokeo ya Mlimba na Kilombero bila kutaja wala kuonesha kuwa kura zilizokataliwa ziko ngapi na ziko wapi. Katika kutangaza alisema kuwa hakuna kura zilizokataliwa sehemu zote mbili wakati ukweli ni kuwa zilikuwepo nyingi sana sehemu zote mbili. Kwa upande wa Mlimba kati ya hoja zote hiyo ndio ilikuwa hoja kuu mahakamani na Mama huyu alidanganya kuwa hoja hiyo sio kweli kwani mfumo haukuzihesabu kura hizo na kuwa hazikuwa nyingi. UKWELI ni kura zilikuwepo nyingi zaidi ya 2000 na wasiwasi mkubwa ni kuwa alimuongezea mgombea wa Chadema Mbunge Kiwanga kwani mpaka sasa hata baada ya hukumu ukweli utabaki kuwa kura hizo zilikuwepo zaidi ya 2000 na ukweli wa zilipo anajua yeye maana alisema kura zilizokataliwa ni 0.

Na pia akasema kuwa ni vituo kama 9 tu ndio zipo kura zilizokataliwa, hii si kweli ila alisema makusudi kupoteza ukweli baada ya kuambiwa na waendesha mashitaka wa Serikali kuwa aseme hivyo, waendesha mashitaka ambao kwa muda wote waliokuwepo huko Wawili kati yao walikuwa wakipokea pesa za ziada toka kwa Mbunge Kiwanga hivyo aliwanunua, natafuta majina yao na nitayaanika ila ni yule wa Kike na wa kiume mmoja. Walifanya hivyo kwani Mdai kupitia CCM hakuleta Mashahidi wa vituo vyote 376 kuonesha kura zilizokataliwa kwani kwa mazingira ya kesi na hali ya uchumi asingeweza na alisema mahakamani kuwa ataleta wachache kama sample na angetoa fomu zingine kuonesha hilo lakini bahati mbaya fomu za vituo vingine zilikataliwa.

Ila kiini ni huyu huyu Mama kupindisha ukweli.

Pia alisema kuwa hakupokea barua ya malalamiko ya aliyekuwa mgombea wa CCM Kilombero Ndg Asenga Abubakar kwenda Kamati ya Maadili, barua ambayo ilionesha wazi imepokelewa kwa kugongwa muhuri, yeye aliikana na mfanyakazi wa Masijala aliyekuja kama shahidi akaenda mbali kudai kuwa muhuri ule uliogongwa ni wa kufoji, mpaka Jaji akakasirika. UKWELI ni kuwa barua ilipokelewa ila hawakuifanyia kazi na Mgombea wa CCM alikuwa akiwasiliana na Msaidizi wa huyo Mama kama alivyoelekezwa na huyo Mama lakini huyo Mama na Msaidizi wake wote walikana hayo hivyo kupindisha ukweli.

Lissu hana utashi wa kuyasema haya kwani yeye kajawa mizengwe ikumbukwe alishasema kwenye kesi kuwa Polisi wapatao kumi wamevamia hotel yake na wanasachi chumba chake ikabidi mahakama ihairishwe lakini yote yakawa uongo kumbe walitaka tu muda kwenda kufanya mambo wanayoyajua wao wenyewe, hivyo kwake kukurupuka na kutafuta kuonewa huruma na jamii kwa kupindisha ukweli ni jambo la kawaida na huyo Mange naye keshakuwa kibaraka wa Chadema na anaropoka hovyo bila kufanyia uchunguzi anayoyasema ila pia ana frustrations za kuachwa amekuwa kama chizi anashika hiki na kile kwa kubwabwaja tu Hivyo nakutafuta Kick tu.

Ninafatilia kwa Wanasheria copy za mwenendo wa kesi na hukumu na ntarusha humuhumu sehemu zote ambazo huyo Mama alikuwa akidanganya na pia natafuta ripoti ya tathmini ya uharibifu alioiandaa yeye ili muone ni kiasi gani alidanganya.

Mtumishi wa umma anatakiwa kuwa neutral ila haikuwa hivyo kwa huyu Mama wala Mashahidi wengine waliotoka Halmashauri kwani wote walinunuliwa na ndio maana muda mwingi walikuwa wakionekana na wafuasi/viongozi wa Chadema kwani ndio walikuwa wafadhili wao.

Ukweli ni kuwa Chadema wanacheza sana rafu halafu wanakimbilia kwa wananchi kujihami na kupotosha ukweli. Kwasasa tumewashtukia na tutawaanika kila kona. Kwanza huyo Mbunge wa Kilombero Lijualikali mpaka sasa ameshatumikia na anatumikia vifungo vya nje viwili kwa makosa ya kufanya fujo na kutukana watu na hata kesi ya uchaguzi ingawa ameshinda ila ukweli utabaki pale pale kuwa alimtukana na kutumia maneno ya ubaguzi dhidi ya mgombea wa CCM, tuliokuwepo kwenye kampeni tunajua ukweli na tulisikia na hakuna asiyelijua hili Ifakara kwani alifanya wazi wazi.

Mwisho ni kuwa, hukumu zimetoka na Chadema Wameshinda na tunaheshimu maamuzi ya Majaji ila ukweli wa mambo yalivyokuwa utabaki pale pale na Wanasheria wetu walijitahidi sana na tumeridhika na kazi yao. Hukumu imesomwa na Wanaadamu kwa vigezo na masharti wanayoyajua wao na sie tumepokea ila HAKI ITABAKI KUWA KWA MWENYEZI MUNGU kama yeyote ambaye amepindisha ukweli kwa namna yeyote ile basi asiwe na hofu kwani MUNGU kaona na atapata kile ambacho anachostahili aidha hapa hapa Duniani ama kesho kwa Mungu.

Watanzania tuzipinge hizi siasa chafu zenye lengo la kupotosha ukweli. Sababu ya kutenguliwa huyu Mama ni utendaji wake kutoridhisha. Na kwa yaliojiri Mahakamani baadhi ni kama nilivyowafahamisha hivyo Chadema wasifanye hili ni suala la kisiasa na kuona wamepata ajenda. Jipangeni upya na muongozwe na hofu ya Mungu.

MAMA AZIMINA, malipo ni Duniani, na kuna uwezekano hivi ndio umeanza kupokea malipo ya uongo na maovu yako.

MANGE KIMAMBI, acha kudandia usioyajua na kuzidi kudanganya na kupotosha watu, kwanza huyo Mama Mbilinyi wala sio Dr. kama ambavyo umemuita wewe, hiyo PhD labda ulimtunuku wewe. Hata Degree hana, amesoma Advance Diploma kisha akafanya Masters. Na kwa hili ni vyema TCU ikampitia ili kujiridhisha na hiyo elimu yake.

TUNDU LISSU, janja yako imegundulika, na Watanzania sio wajinga mnavyofikiri kwa kutafuta issue moja na kupotosha ukweli kisha kujaza watu chuki dhidi ya Serikali yao, hauna chembe ya uzalendo, tulieni tujenge nchi kwani tumechoka drama zenu za kijinga kila kukicha.

Nawakumbusha tu!

Serikali iliyoko Madarakani niya CCM na Serikali hii niya HAPA KAZI TU! Mh Rais aliahidi Kusema Kweli na Kuwa Muwazi kwa Kila Jambo, Kama utasema uwongo, Utahonga, Utapokea Rushwa ama Kutoa Rushwa na kila aina ya Uwovu, Tarajia Utafahamika tu na Utakuwa Jipu na Utatumbuliwa.

Watanzania Wanyonge Wanahitaji Haki Itendeke na sio Usanii na Ujanja ujanja usio na Maana. Msitafute pakutokea tulieni Dawa Iwaingie kisawasawa.

Kwa Leo Naishia Hapa

Mtetezi wa Wanyonge
 
Hivi ni kweli kwamba kilichoifikisha nchi alipoikuta JPM ni akina TL!? Tuweni makini ili tusizidi kupotea.
 
MAJIBU YA UJUMBE UNAOSEMEKANA KUTOKA KWA TUNDU LISSU JUU YA KUTENGULIWA KWA MKURUGENZI WA BAGAMOYO BIBI AZIMINA MBILINYI

Habari Watanzania.
Ninaandika haya ili kujibu tuhuma na hoja za kupotosha umma juu ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Bagamoyo Bi Azimina Mbilinyi aliyetenguliwa kazi yake tarehe 30/07/2016 kutokana na Mh. Rais kutoridhishwa na utendaji wake.
Nimeona meseji zinasambaa toka kwa Tundu Lissu, na huyo Binti msema Hovyo Mange Kimambi zenye lengo la kupotosha ukweli kuwa alitenguliwa kutokana na kutoa ushahidi dhidi ya CCM.

Sababu ya kuenguliwa huyu Mama ni kuwa Mh. Rais hajaridhishwa na utendaji kazi wake! na mie huko sintoingilia, ila kwa upande wa kesi zinazodaiwa na Lissu na huyo Mange kuwa eti ndio sababu, Basi nitawajuza ukweli kwakuwa mie nilikuwepo kwenye kesi zote ya Kilombero na Mlimba wakati huyo Mama anatoa ushahidi na Mashaidi wengine wote!
Ukweli ni kuwa Mama huyo aliongea uongo na uongo huo ni kutokana na fungu zito ambalo linadaiwa aidha alipata ama kuhaidiwa kupewa.

Mama huyu kwenye kesi hizo mbili alisema kuwa sio kweli na mpaka sasa hana taarifa kuwa kuna fujo zilitokea wakati wa utangazaji wa matokeo wa majimbo yote mawili kiasi cha baadhi ya majengo ikiwamo Mahakama ya Nyumba ya Wilaya kuchomwa Moto, na wala sio kweli kuwa yeye alilazimika kukimbia wakati fujo zimepamba moto na mabomu ya machozi kurushwa kutawanya watu waliokuwa wanafanya fujo na kurusha mawe Ukumbi wa kuhesabia na kutangazia matokeo, ambapo baadae alirudishwa chini ya uangalizi wa Polisi na ndipo akatangaza matokeo.
UKWELI ni kuwa siku hiyo fujo zilitokea kama alivyoulizwa huyo Mama na ni kweli yeye alikimbia na kurudishwa na polisi na hata kesi ilifunguliwa dhidi ya vijana takribani 20 kwa kuchoma hiyo Mahakama na mali nyingine za Serikali na watu binafsi kama kituo cha Radio na vijana hao ni wafuasi wa Lijualikali ambaye ni Mbunge wa Chadema. Sasa kwanini huyo Mama adanganye Mahakama wakati ukweli anaujua na yeye aliandaa ripoti ya tathmini ya vitu vilivyoharibika?

Mama huyu huyu alitangaza matokeo ya Mlimba na Kilombero bila kutaja wala kuonesha kuwa kura zilizokataliwa ziko ngapi na ziko wapi. Katika kutangaza alisema kuwa hakuna kura zilizokataliwa sehemu zote mbili wakati ukweli ni kuwa zilikuwepo nyingi sana sehemu zote mbili. Kwa upande wa Mlimba kati ya hoja zote hiyo ndio ilikuwa hoja kuu mahakamani na Mama huyu alidanganya kuwa hoja hiyo sio kweli kwani mfumo haukuzihesabu kura hizo na kuwa hazikuwa nyingi. UKWELI ni kura zilikuwepo nyingi zaidi ya 2000 na wasiwasi mkubwa ni kuwa alimuongezea mgombea wa Chadema Mbunge Kiwanga kwani mpaka sasa hata baada ya hukumu ukweli utabaki kuwa kura hizo zilikuwepo zaidi ya 2000 na ukweli wa zilipo anajua yeye maana alisema kura zilizokataliwa ni 0. Na pia akasema kuwa ni vituo kama 9 tu ndio zipo kura zilizokataliwa, hii si kweli ila alisema makusudi kupoteza ukweli baada ya kuambiwa na waendesha mashitaka wa Serikali kuwa aseme hivyo, waendesha mashitaka ambao kwa muda wote waliokuwepo huko Wawili kati yao walikuwa wakipokea pesa za ziada toka kwa Mbunge Kiwanga hivyo aliwanunua, natafuta majina yao na nitayaanika ila ni yule wa Kike na wa kiume mmoja. Walifanya hivyo kwani Mdai kupitia CCM hakuleta Mashahidi wa vituo vyote 376 kuonesha kura zilizokataliwa kwani kwa mazingira ya kesi na hali ya uchumi asingeweza na alisema mahakamani kuwa ataleta wachache kama sample na angetoa fomu zingine kuonesha hilo lakini bahati mbaya fomu za vituo vingine zilikataliwa. Ila kiini ni huyu huyu Mama kupindisha ukweli.

Pia alisema kuwa hakupokea barua ya malalamiko ya aliyekuwa mgombea wa CCM Kilombero Ndg Asenga Abubakar kwenda Kamati ya Maadili, barua ambayo ilionesha wazi imepokelewa kwa kugongwa muhuri, yeye aliikana na mfanyakazi wa Masijala aliyekuja kama shahidi akaenda mbali kudai kuwa muhuri ule uliogongwa ni wa kufoji, mpaka Jaji akakasirika. UKWELI ni kuwa barua ilipokelewa ila hawakuifanyia kazi na Mgombea wa CCM alikuwa akiwasiliana na Msaidizi wa huyo Mama kama alivyoelekezwa na huyo Mama lakini huyo Mama na Msaidizi wake wote walikana hayo hivyo kupindisha ukweli.

Lissu hana utashi wa kuyasema haya kwani yeye kajawa mizengwe ikumbukwe alishasema kwenye kesi kuwa Polisi wapatao kumi wamevamia hotel yake na wanasachi chumba chake ikabidi mahakama ihairishwe lakini yote yakawa uongo kumbe walitaka tu muda kwenda kufanya mambo wanayoyajua wao wenyewe, hivyo kwake kukurupuka na kutafuta kuonewa huruma na jamii kwa kupindisha ukweli ni jambo la kawaida na huyo Mange naye keshakuwa kibaraka wa Chadema na anaropoka hovyo bila kufanyia uchunguzi anayoyasema ila pia ana frustrations za kuachwa amekuwa kama chizi anashika hiki na kile kwa kubwabwaja tu Hivyo nakutafuta Kick tu.

Ninafatilia kwa Wanasheria copy za mwenendo wa kesi na hukumu na ntarusha humuhumu sehemu zote ambazo huyo Mama alikuwa akidanganya na pia natafuta ripoti ya tathmini ya uharibifu alioiandaa yeye ili muone ni kiasi gani alidanganya. Mtumishi wa umma anatakiwa kuwa neutral ila haikuwa hivyo kwa huyu Mama wala Mashahidi wengine waliotoka Halmashauri kwani wote walinunuliwa na ndio maana muda mwingi walikuwa wakionekana na wafuasi/viongozi wa Chadema kwani ndio walikuwa wafadhili wao.

Kwa Leo Naishia Hapa.

Wananiita
Peter Dafi.

Mtetezi wa Wanyonge
Nimesoma tu hapo pa red tu and I came to conclude kuwa kuwa Kumbe na wewe ni mpuuzi kama wenzako akina Jingalao. Not worth of reading!
 
Huyo mtumbuliwa aliteuliwa hata miezi miwili hajafikisha ofisini, tena kwa scrutiny kali iliyofanywa na RAPA jpm kwa kukesha akipitia jina moja moja halafu asione utendaji usioridhisha, unatafsirika kama unataka kumtukana RAPA kifasihi zaidi.
Usitake kuamsha hasira yetu iliyo mafichoni.

UNATAKA KUTUAMBIA SISI TUMECHAGUA GARASA!??

TUTAKUTOA MKUKU!!!!!!
 
Wewe sister huyo mtumbuliwa aliteuliwa hata miezi miwili hajafikisha ofisini, tena kwa scrutiny kali iliyofanywa na RAPA jpm kwa kukesha akipitia jina moja moja halafu asione utendaji usioridhisha, unatafsirika kama unataka kumtukana RAPA kifasihi zaidi.
Usitake kuamsha hasira yetu iliyo mafichoni.

UNATAKA KUTUAMBIA SISI TUMECHAGUA GARASA!??

TUTAKUTOA MKUKU!!!!!!
RAPA-ndio nn?
 
Kama ulikuwa na majibu haya ilkuwa haina haja ya kuanzisha thread....nenda kweny vijiwe vya kahawa uwaambie hayo watakusikiliza pengine ( sina uhakika)...humu tunajua kusoma na kuangalia picha
 
Kumbe ni kweli huyo alifukuzwa kwa kutoa ushahidi uliofanya ccm ishindwe kesi.
Tuseme hao mahakimu waliohukumu hiyo kesi nao ni majipu?
Mbona unathibitishwa alichosema lisu?
Angalia unamdhalilisha raisi.
Mi sidhani kama amefukuzwa kwa sababu ya hizo ulizozitaja
 
Wala haieleweki unataka kutuambia nini hasa, maana naona unalalama kwamba hakutenda haki wakati kichwa cha habari kinazungumzia utendaji wa kazi mbona hueleweki. We ni mmojawapo wa wanaotoka nchi ya manyang'au?
 
Ninashaka na mleta uzi,mbona anashabiana na mlalamikaji wa kesi ya uchaguzi? Halafu ukizungumzia suala la utendaji wa mkurugenzi JPM aliuhakikishia umma kwamba wale wote waliobaki amewafanyia veting kwa zaidi ya miezi miwili na kutobaini kasoro zao.Mleta uzi UNACHONGA SANA!
 
Back
Top Bottom