Majibu ya Sitta kwa Dr Slaa: Asema Dr Slaa Mnafiki, Dikteta

Mimi ndio nazidisha imani kwamba CCM ni chama imara kwenye masuala ya propaganda na hizi ziara za Uchina ndio zinawanoa kisawasawa.

Mheshimiwa Samwel Sitta ni ndumilakuwili na ni wa kuogopewa sana maana ndie anaeonekana kuongoza kampeni ya kuwagawa wananchi kupitia vyombo fulani vya habari.

Juzijuzi alionyesha waziwazi kwamba ana ambition ya kuwa raisi na kwamba ana timu yake ya kumpa tafu. Kazi ya kuigawa CCM inamshinda na baada ya kupigwa mkwara ndio anakuja na hili.

Maslahi ya umma ni lazima siku zote yawekwe mbele na na vyombo vya habari vipo kwa ajili ya kuanika hizi propaganda na athari zake kwa demokrasia na mabadiliko ya kijamii.

Ni nani huyo ambae twaweza kusema kwamba kwa sasa ndie "spin doctor" au "senior propagandist?"
 
Mzee sitta hajazungumzia ziara zake hasa makanisani yeye na hasimu wake mh: Lowassa kutoa misaada,michango mikubwa katika harambree,kuwa ni kampeni za Uraisi 2015!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sitta hana hoja ya msingi/ ni mnafiki na mpenda madaraka. hataki kuongozwa bali kuoongoza tu. ana chuki kubwa na wenzake pamoja na mitume wenzake 12 wanaouza sura makanisani. sita hana jipya ajiandae kuaibika ndani ya c.c.m kwani hapati urais wala uwaziri mkuu. na ajiandae kupewa sumu kwa wapinzani wenzake kama kina mwakyembe walivyofanyiwa. hivyo ndio vuvuli vya sitta mnafiki
 
"Tritor", "Married"?.....

Uliambiwa ukazane na shule hapo UDOM uache mawenge na unafiki.Ni maneno gani hayo na ulimaanisha nini hasa?

Kaka Kibaha kweli utaikombia kwa mwendo huu?

Afadhari mwenzio lugha ya mayai imempiga chenga, wewe kiswahili hakipandi? 'utaikombia' ndio nini?
 
CHAMVIGA;

Wewe ndiye mnafiki usiyeona kosa kwa kiongozi kama Sitta kukubali kufanya majadiliano ya aina hiyo
 
Last edited by a moderator:
Mzee wangu sitta kumbuka kuwa hata reli ni nyembamba lakini treni inapita juu yake.
 
DUU YANI NASOMA NA NATAKA NIRUDIE MARA NYINGI KUSOMA SIX WE KIBOKO KHAA HUYU SLAA ATAUWEZA MZIKI WAKO KWELI NA KAREDIO KAKE KA MCHINA teh :heh:teh :heh:teh :heh:teh
 
41120_110715015648667_7576970_n.jpg


DK WILBROAD SLAA nimemfahamu hapo mwanzo kama kiongozi makini, msikivu, nfuatiliaji, mpenda mabadiliko, mwanademokrasia lakini siku za hivi karibuni haswa alipoteuliwa kugombea urais kupitia chadema amebadilika mno
1. amekuwa akizarau hekima na busara za viongozi wa chini mfano mzuri ni ziara ya kigoma ,DK SLAA angekuwa msikivu na kuahirisha ziara ambayo imekumbwa na vurugu hilo alitahadharishwa na intelegensia ya chama ya mkoa wa kigoma je likimpata baya huko kigoma nan alaumiwe?
2, kule kenya kwenye mkasa wa west gate polisi walionywa na alshabab kuwa watalipua lakini kwa jeuri hawakufatilia na baade kilichotokea ni mauaji ya kutisha, hii inafanana na vurugu za huko kigoma ambapo baadhi ya watu wamesikika kuwa wapo ili wamfanyie kitu kibaya dk slaa ingekuwa busara na hekima dk slaa kuahirisha hio ziara mpaka utulivu upatikane
3.DK SLAA angetumia busara na hekima wakati huu si bora kufanya ziara hasa huko kigoma ambapo mbunge maarufu wa huko amesimamishwa uongozi kwa kusoma alama za nyakati lazima consipiracy ingeingia je DK ALITUMIA TU NGUVU KUAMUA KWENDA KWAMBA TUNAKUBALIKA LIWALO NA LIWE?
NOTE
HEKIMA NA BUSARA ZA WENGINE HUZUIA MTU KUWA DIKTETA WA KIFKRA
 
mungu ampe maisha marefu mzee sitta,ni hazina kubwa,anaona mbali,nadhani wote mliombeza wakati ule alipoyatamka haya mnacho cha kueleza leo.
 
Back
Top Bottom