Majibu ya Oral Interview NHIF yametoka au bado?

Dannycage

Senior Member
Oct 25, 2010
105
195
Jamani kwa wale waliofanya oral na practical interview NHIF jumatatu katika post ya System Administrator naomba watujuze kuhusu majibu, kama kuna yeyote anayefahamu pia.
 
Dannycage

Senior Member
Oct 25, 2010
105
195
si kosa, unadhani itachukua muda gani kutoka leo mpk watu waitwe kazini au mpaka bunge la bajeti liishe????

Fasta tuu hawachelewi labda tuseme inategemea na post gani maana kuna post mtu alikimbia kazi mpaka sahivi sijui alikimbia kwa sababu ya maslahi au zile any other duties zilikuwa za kutosha sana.
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Fasta tuu hawachelewi labda tuseme inategemea na post gani maana kuna post mtu alikimbia kazi mpaka sahivi sijui alikimbia kwa sababu ya maslahi au zile any other duties zilikuwa za kutosha sana.

duh,,, mbona hao jamaa nasikia wana mishahara mizuri sana au ni story tu za vjiweni? Huyo mtu ilikuwa ni post gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom