Elections 2010 Majibu ya NEC kwa waandishi wa habari

BabieWana

Senior Member
Nov 3, 2010
178
29
nimependa jana Kiravu alivyoweka mambo wazi juu ya shutuma za NEC akipewa support na Mwenyekiti msaidizi na mjumbe wa NEC profesa CHALIGA wametulia, angekua jaji tungempendekeza awe ndio mwenyekiti. babu makame amezeeka
 
Yule profesa ana majibu hewa. nahisi atakuwa alisoma historia za Vasco Da Gama. HAta lolote ametulia kudanganya au??:nono::nono:
 
nimependa jana Kiravu alivyoweka mambo wazi juu ya shutuma za NEC akipewa support na Mwenyekiti msaidizi na mjumbe wa NEC profesa CHALIGA wametulia, angekua jaji tungempendekeza awe ndio mwenyekiti. babu makame amezeeka

Umependezewa na nini kwa Kiravu? ile sura yake ilioyoshuka kama uji usiochemka au nini hasa?
Kiravu kuna baadhi ya maswali alikuwa hayatolei majibu sahihi na ya kueleweka.
Kwa mfano alipoulizwa kucheleweshwa kwa matokea ktk vituo ambavyo wapinzani wanaelekea kushinda.
akajibu kuhusu kuchelewa matokeo wanayowatangaza wao tume pale ukumbini akaacha yale ya wabunge yanayocheleweshwa vituoni.
Kakwepa swali kiaina.
Ndio alichokuvutia hiko??
 
Hayo yanaweza kuwavutia wafuasi wa ccm na si vinginevyo.
 
Walijibu maswali kwa usahihi na ufasaha, acheni ushabiki wa vyama ambao hausaiddi. Kama mna maoni au mapendekezo pelekani watayafanyia kazi wametoa nafasi hiyo. Tume ile imetulia ile mbaya ni watu makini sana kasoro za kibinadamu zipo hazikosekani.
 
Umependezewa na nini kwa Kiravu? ile sura yake ilioyoshuka kama uji usiochemka au nini hasa?
Kiravu kuna baadhi ya maswali alikuwa hayatolei majibu sahihi na ya kueleweka.
Kwa mfano alipoulizwa kucheleweshwa kwa matokea ktk vituo ambavyo wapinzani wanaelekea kushinda.
akajibu kuhusu kuchelewa matokeo wanayowatangaza wao tume pale ukumbini akaacha yale ya wabunge yanayocheleweshwa vituoni.
Kakwepa swali kiaina.
Ndio alichokuvutia hiko??

Mara zote mtu mwongo hawezi kutoa majibu sahihi. Kama atakuvutia basi ni kwa sababu either ulikuwa haujui nini unahoji au umepigwa bumbuwazi kiaina ukashindwa kufikiri kwa wakati. Majibu ya Kiravu, Makame, huyo Profesa, JK, na wana-CCM wengine wote ni hewa, ni ya kubumba na yenye nia ya kughilibu na kupotosha.

Mara nyingi huweza kuvuta makofi na vigelegele toka kwa wale wasioweza kupambanua mambo kwa umakini, wasiojua nini wanastahili kujua, au wale ambao wamelewa kasumba (wamekunywa maji ya bendera) ya itikadi husika. Ndiyo maana wana CCM walikwepa midahalo muda wote wa kampeni maana wanajua wahudhuriaji watakuwa watu makini wanaojua nini wanastahili kuhoji, na wanaofahamu kama jibu ni geresha (kanyaboya) au sahihi, tofauti na wapokea t-shirt, kapelo na vilemba kwenye kampeni.

Kwa maana hiyo, hata maelezo ya tume wanapoyeyusha utumbo ulioonekana wazi na kusema ni mambo ya kawaida sishangai. Kama walikuvutia ni kwa sababu haujui nini unapaswa kujua, sorry!!
 
Walijibu maswali kwa usahihi na ufasaha, acheni ushabiki wa vyama ambao hausaiddi. Kama mna maoni au mapendekezo pelekani watayafanyia kazi wametoa nafasi hiyo. Tume ile imetulia ile mbaya ni watu makini sana kasoro za kibinadamu zipo hazikosekani.

Mara zote mtu mwongo hawezi kutoa majibu sahihi. Kama atakuvutia basi ni kwa sababu either ulikuwa haujui nini unahoji au umepigwa bumbuwazi kiaina ukashindwa kufikiri kwa wakati. Majibu ya Kiravu, Makame, huyo Profesa, JK, na wana-CCM wengine wote ni hewa, ni ya kubumba na yenye nia ya kughilibu na kupotosha.

Mara nyingi huweza kuvuta makofi na vigelegele toka kwa wale wasioweza kupambanua mambo kwa umakini, wasiojua nini wanastahili kujua, au wale ambao wamelewa kasumba (wamekunywa maji ya bendera) ya itikadi husika. Ndiyo maana wana CCM walikwepa midahalo muda wote wa kampeni maana wanajua wahudhuriaji watakuwa watu makini wanaojua nini wanastahili kuhoji, na wanaofahamu kama jibu ni geresha (kanyaboya) au sahihi, tofauti na wapokea t-shirt, kapelo na vilemba kwenye kampeni.

Kwa maana hiyo, hata maelezo ya tume wanapoyeyusha utumbo ulioonekana wazi na kusema ni mambo ya kawaida sishangai. Kama walikuvutia ni kwa sababu haujui nini unapaswa kujua, na hapa siyo suala la ushabiki wa vyama, sorry!!
 
Walijibu maswali kwa usahihi na ufasaha, acheni ushabiki wa vyama ambao hausaiddi. Kama mna maoni au mapendekezo pelekani watayafanyia kazi wametoa nafasi hiyo. Tume ile imetulia ile mbaya ni watu makini sana kasoro za kibinadamu zipo hazikosekani.

Rotten brain, hahahahaah! :nono:
 
My take ni kwamba walikuwa wanatueleza jinsi uchakachawaji ulivyoleta taabu kwenye systeem, kuifanya iwe down. Nahisi hawakuwa wamelijua hilo. Majibu ya kwamba tanzania ni nchi kubwa kwangu halina maana, kwasababu ni jambo linalojulikan na walitakiwa wawe wameplan for it. Sikuona jibu lolote la maana katika majibu ya Kiravu. Ile ilikuwa kujikosha kwa matope:doh: if you listen between the line walikuwa wakieleza uma wa watanzania jinsi wavyochakachua kura. :tape:
 
Huyo prof ndie mwalimu wa Bansen Bana...Dk...TEDER soma kinyume nyume neno la mwisho!

:bowl:
 
kwa kweli nilipenda sana pale makamu mwenyekiti aliposema kuwa Kukesha kulikua ni KASUMBA na si kwasababu walikua wanalinda kura maana hata hawajui kura zinaibiwaje utalinda nini?.
Kiravu alishangazwa na watu kwenda kulinda kura wakati wengi wao hawakupiga
Pia alisema anayesema kura zimeibwa aje mbele atoe ushahidi ............. hakuna aliyejitokeza
Akasema tume ni ya CCM, wakati Tume ni watumishi wa umma kama majaji ambao wanatoa hukumu mahakamani hata against government kama walivyo kina makame na wajumbe wake.
aliuliza muundo upi mnataka uwe wa tume? Au vyama vya siasa ndo vitoe wajumbe wa tume?
yeye ameshatembelea TUME zote ulimwenguni mfumo wa tume hizo nyingi kama yetu au mtu atoe mfano wa muundo wa tume wa nchi anayoijua wa kuigwa.
Na mengine mengi
 
Tulimsikia. Kwa hoyo unatakaje?? Alitusaidia nini?? katika yale ya msingi alijibu nini??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom