nimependa jana Kiravu alivyoweka mambo wazi juu ya shutuma za NEC akipewa support na Mwenyekiti msaidizi na mjumbe wa NEC profesa CHALIGA wametulia, angekua jaji tungempendekeza awe ndio mwenyekiti. babu makame amezeeka

Umependezewa na nini kwa Kiravu? ile sura yake ilioyoshuka kama uji usiochemka au nini hasa?
Kiravu kuna baadhi ya maswali alikuwa hayatolei majibu sahihi na ya kueleweka.
Kwa mfano alipoulizwa kucheleweshwa kwa matokea ktk vituo ambavyo wapinzani wanaelekea kushinda.
akajibu kuhusu kuchelewa matokeo wanayowatangaza wao tume pale ukumbini akaacha yale ya wabunge yanayocheleweshwa vituoni.
Kakwepa swali kiaina.
Ndio alichokuvutia hiko??
Hayo yanaweza kuwavutia wafuasi wa ccm na si vinginevyo.
Umependezewa na nini kwa Kiravu? ile sura yake ilioyoshuka kama uji usiochemka au nini hasa?
Kiravu kuna baadhi ya maswali alikuwa hayatolei majibu sahihi na ya kueleweka.
Kwa mfano alipoulizwa kucheleweshwa kwa matokea ktk vituo ambavyo wapinzani wanaelekea kushinda.
akajibu kuhusu kuchelewa matokeo wanayowatangaza wao tume pale ukumbini akaacha yale ya wabunge yanayocheleweshwa vituoni.
Kakwepa swali kiaina.
Ndio alichokuvutia hiko??
Walijibu maswali kwa usahihi na ufasaha, acheni ushabiki wa vyama ambao hausaiddi. Kama mna maoni au mapendekezo pelekani watayafanyia kazi wametoa nafasi hiyo. Tume ile imetulia ile mbaya ni watu makini sana kasoro za kibinadamu zipo hazikosekani.

Tulimsikia. Kwa hoyo unatakaje?? Alitusaidia nini?? katika yale ya msingi alijibu nini??kwa kweli nilipenda sana pale makamu mwenyekiti aliposema kuwa Kukesha kulikua ni KASUMBA na si kwasababu walikua wanalinda kura maana hata hawajui kura zinaibiwaje utalinda nini?.
Kiravu alishangazwa na watu kwenda kulinda kura wakati wengi wao hawakupiga
Pia alisema anayesema kura zimeibwa aje mbele atoe ushahidi ............. hakuna aliyejitokeza
Akasema tume ni ya CCM, wakati Tume ni watumishi wa umma kama majaji ambao wanatoa hukumu mahakamani hata against government kama walivyo kina makame na wajumbe wake.
aliuliza muundo upi mnataka uwe wa tume? Au vyama vya siasa ndo vitoe wajumbe wa tume?
yeye ameshatembelea TUME zote ulimwenguni mfumo wa tume hizo nyingi kama yetu au mtu atoe mfano wa muundo wa tume wa nchi anayoijua wa kuigwa.
Na mengine mengi