Majibu ya Mwigulu Nchemba kwa vijana wanaohoji ''uheshimiwa'' zake

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,072
103,285
Wakuu haya ndio majibu ya muheshimiwa wetu pale vijana wanapotilia mashaka uheshimiwa wake. Nimeleta baadhi tu majibizano toka fb


  • Edna Kitiri Mwigulu, mkeo anajua lugha yako au wanaojua lugha yako ni hawara zako? au tuwataje hadharani? Huna lugha nzuri kabisa km mbunge
    2 hours ago via mobile · Like

  • Mwigulu Nchemba Edna anza jitaje wewe kwanza maana usianzie mbali? Hukufurahia ile lugha? Mwigulu Nchemba Nani amtongoze edna leo kazi ilishaisha tangu yuko ndala teachers college. Yeye anajua

    about an hour ago via mobile · Like
    • Mwigulu Nchemba Edna unataka kukana? Mbona una kovu kwenye paja lako la kulia. Unaona raha kutaja wa mbali? EDNA KILA SIKU UNASUMBUA

    • Mwigulu Nchemba Audrey mwache aweke list moja ni yeye wa tangu chuo cha ndala
      about an hour ago via mobile · Like

    • Mwigulu Nchemba Matiku samahani nashangaa alishaolewa bado anaona wivu kuwa mwigulu ana mahawara.

      Mwigulu Nchemba Matiku kwa amepata kovu baada ya wewe kumuoa? Alikuwa nalo tangu moshi na chuoni? Kwani wakati unamwoa alikwambia ni bikira?
      • about an hour ago via mobile · Like

      • Mwigulu Nchemba Edna Taja tu sio ajabu anza na wewe. Mimi si ndio nilikutajia wewe. Kwani umejuaje. Samahan nimetaja habari ya kovu nilidhani unabisha

        Mwigulu Nchemba Edna mbona siku ile ulisema kovu hilo ulikuwa unaweka mti wa ku support mgomba ulielemewa mkungu wa ndizi

Updates

Mwigulu Nchemba
Angela unaongelea damu zipi maana wewe umezoea kuziona kila mwezi.

More updates
Mheshimiwa na leo amezidi kufunguka

Mwigulu Nchemba Ngosha wakiitwa wanaume nawe unatoka? Usidhani wengine mayai bro shuruba ilikuwa kawaida. Tunayajua haya
51 minutes ago via mobile · Like

Jay Chadema Jibu hoja zangu, ni kweli kwamba account yako iliingiliwa na kudhalilisha wanawake?
35 minutes ago · Like

Mwigulu Nchemba Jay ni kweli mkuu. Ila nimeshabadili password
35 minutes ago via mobile · Like

Jay Chadema Haaaa, haaaa, jamani nisaidieni, eti mtu anaweza kuhaki account yako kupitia simu? hili kweli zuzu.Password ya FB inadalishwa? Settings za facebook zimeandikwa password never changed. Afu hili linasema limebadili password. Haaa
31 minutes ago · Edited · Like · 1

Mwigulu Nchemba Jay hujawah kubadili? Nimebadilisha address na pw.
29 minutes ago via mobile · Like

Mwigulu Nchemba Jay we ni nzi, so what. What is the matter then? Support?
 
Mhh huyu jamaa hana maadili hata tone ni fuska!last time ulinipa ban ila jf haitasita kukurekebisha.wana iramba msikubali kuwakilishwa na mtu mwenye mapungufu makubwa!huyo dada umemfanyaje?
 
mhhhhhhhhh, waheshimiwa wetu, nchi za watu hii ni kashfa kubwa, huku kwetu hii ni sifa ya kupewa cheo.
 
Mhh huyu jamaa hana maadili hata tone ni fuska!last time ulinipa ban ila jf haitasita kukurekebisha.wana iramba msikubali kuwakilishwa na mtu mwenye mapungufu makubwa!huyo dada umemfanyaje?
Aiseeeee! kumbe huyu jamaa nimchafu hivi, hivi wenzie wanalijua hili kumbe ndo maana hata bungeni hakuna chamaana anachongea? kazi nikotoka nje ya mada kila wakati kumbe mda wote anachat? hii nchi bwana kumbe viongozi wetu ndo hawa, hii ni zaidi ya hasara.
 
Aiseeeee! kumbe huyu jamaa nimchafu hivi, hivi wenzie wanalijua hili kumbe ndo maana hata bungeni hakuna chamaana anachongea? kazi nikotoka nje ya mada kila wakati kumbe mda wote anachat? hii nchi bwana kumbe viongozi wetu ndo hawa, hii ni zaidi ya hasara.

Hii ni aibu ambayo kama nchi yetu ingekuwa makini alitakiwa kuwajibika kwa utovu wa nidhamu. Lakini kwa kuwa anaonekana kinara wao wataendelea kumpigia makofi hata pale anapotoa pumba kama mchango kwenye hoja.

Sent firom my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Huyu Mwigulu alinifanya nikapata ban na nimetoka likizo jumapili..bye...
 
Tukisema Mwigula ana pepo la ngono, vibaraka wa Lumumba wanaolipwa buku 7 wanakuja juu na mapovu yao...
 
ninashaka hata yule binti wa mbozi aliyetoka chadema atakuwa keshapitiwa na huyu mheshimiwa!

Mkuu ukiona manyoya ujue kuku ameshaliwa. Hako kabiti kalijipeleka kenyewe kwa mwigulu, sasa unategemea akafanye nini, zaidi ya kukamega na kukafanya nyumba ndogo.

Ndio maana sasa hivi huwezi kusikia Mwigulu amefumaniwa, kama ile ishu ya Igunga, sasa hivi anasafiri na hako kabiti, jamaa akijisikia anapiga... In return binti anakula kiyoyozi tu... uzuzu huu una kazi sana...
 
Kila siku huwa nawambia wanakijiji wenzangu!kama huyu kawa Mbunge hata mimi naweza,tena kwa ustadi sana
 
Ha ha ha ha hivi wana Iramba wapo humu?Du!Kweli mlijua kuchagua mbunge maana dada zenu wapo katika hatari kubwa ya kugegedwa na baadae kuachwa kwa kashfa na matusi.
Sikuwahi kufikiri mwakilishi wa wananchi anaweza kujitoa mbele ya hadhira kwa maneno machafu namna hii.
 
Mwigulu kwenye NGONO naweza kumuweka kwenye category ya "Expert of Specialist".... Nilimkubali zaidi pale alipojivutia kale kabinti na kuanza kula mambo.... Ila usikute na yule mnafiki kaka yake Juli nae analiwa mambo na huyo huyo mwigulu kwani muhuni hana maana....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom