majibu ya mkazi wa Dodoma alieandika barua kwa Dk.Magufuli

Meatu01

Senior Member
Dec 20, 2016
169
94
soma mwenyewe apa chini
IMG_20161229_215132_237.jpg
 
Hapo ndiyo serikali huchukua points, kupitia publicity za vitu kama hivi. Yale makubwa ya chanjo ukigongwa na nyoka gharama ni laki saba na nusu hayaguswi wakati wananchi wa maeneo hayo wamelalamika sana tu.
 
Mfumo unaukakasi mahala, jambo dogo kama hilo mpaka ikulu ndipo litatuliwe?. Mh raisi kazi unayo.
 
Mfumo unaukakasi mahala, jambo dogo kama hilo mpaka ikulu ndipo litatuliwe?. Mh raisi kazi unayo.
Ni kwa ya sababu ukoo wa kambale taarifa kama hii si yakuletwa humu wanahangaika kuvua samaki kwenye swimming pool badala ya kwenda kuvua mtoni ama ziwani, baharini Shida ni kwamba kuna urasimu serikalini
 
Maajabu hayaishi nchi hii, Yaani hicho nacho ni cha Kutolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu??? This is horrible thing ever done in White house!....
 
Hapo ndiyo serikali huchukua points, kupitia publicity za vitu kama hivi. Yale makubwa ya chanjo ukigongwa na nyoka gharama ni laki saba na nusu hayaguswi wakati wananchi wa maeneo hayo wamelalamika sana tu.
Halafu wazee wa East Africa waliishia wapi?
 
wapo wengi kama hawa kila mmoja akiamua kuandika barua ndipo ashughulikiwe utakuwa upuuzi,lazima kuwepo mipango mikakati ya kushughulikia matatizo kama haya na kukomesha kabisa makosa kama haya yasitokee.
 
Back
Top Bottom