Majibu ya mawaziri yanakera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majibu ya mawaziri yanakera

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CLONEY, Jun 18, 2012.

 1. CLONEY

  CLONEY Senior Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF habari za leo mi noimekuwa nakereka na majibu yanayokuwa yanatolewa bungeni na mawaziri yaani kusoma tu utekelezaji wake ni mdogo sana ulikinganisha na wanavyosoma halafu ni kama uniform kwasababu majibu yaliyotolewa mwaka jana ulkiuliza leo yatasemwa yale yale kama wimbo halafu yako kisiasa sana kwani yanapendeza kuyasikiliza na yanatia moyo lakini kwenye utekelezaji jamani mpaka naona kichefu chefu mfano leo wamegusia tena kuboresha nyumba za askari wetu majibu yamekuwa ni hayo hayo kila inapoulizwa hivi kweli kama wangekuwa wanajibu na kutekeleza hivi kweli leo bado tungekuwa tunaambiwa serikali inafanya mpango wa kuboresha makazi ya askari wake hadi lini?hakuna mengine ya kujadili kuhusu askari hao?haya hao wazamani bado je hao wanaoajiriwa kila mwaka?na wimbo huo utaisha lini?

  NB:gharama zinazotumika kutekeleza shughuli za bunge, majibu yanayoyotolewa ukilinganisha na utekelezaji wake yaani tutaendelea kwenda kwa mwendo wa kinyonga au kupiga li gwaride kila mwaka na watu wachahe wataendelea kuneemeka kwa kula mali za umma kama tunavyoshuhudia kwenye halmashauri zetu.
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nasari kauliza waizara ya maliasiri na utalii juu ya kubadilishwa kwa ujira wa wabeba mizigo ya wataliitoka dola kumi hadi sh 6,000 ni kwa nn?


  Waziri akatoa bla bla zake kumbe Nasari anataarifa nyingine toka wizarani na akalikataa jibu la waziri sasa lipi ni jibu. Sahihi waziri akakwama na spika akamlinda atatoa jibu au ufafanuzi kesho
   
 3. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  safi sana nassari mbunge wangu..
   
 4. T

  Tyegelo Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi naona tatizo liko kwenye jamii yetu. Jamii yetu ni ya waongo. Utamtoa wapi waziri mkweli? Ni mara ngapi watoto hudanganywa, "usilie, ninarudi sasa hivi", wakati mzazi akijua atarudi baada ya masaa mengi! Kwenye simu ni kawaida mtu akiwa bafuni akioga kumsikia akisema, "niko njiani nakaribia kufika!" Watoto wanakua wakijua uongo ndio mtindo. jamii ya waongo itamtoa wapi waziri mkweli?
   
 5. CLONEY

  CLONEY Senior Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hajamuumbua ila majibu aliyokuwa nayo nasaari yalikuwa withdrawed wakagawiwa majibu mengine lakini nassari akayakataa sasa nani aliyeumbuka hapo?
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Toa taarifa kamili mkuu
  1. Bla bla za waziri ni zipi?
  2. Na nasari alikuwa na taarifa zipi?
   
 7. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Inaonekana watumishi wa Wizara hawapo pamoja na mawaziri wao.
   
 8. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kuna kuwaje na majibu mawili serikali moja? Wizara moja? Hapo tujue lipi jibu la ukweli na lipi lilikuwa la uongo
   
 9. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mtu kama bi kiroboto amepoteza kabisa maana ya u-spika. Anakera sana na miongozo yake isiyokuwa na kichwa wala miguu, ndio maana anasura mbaya kama wasir...
   
 10. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  inaelekea wizara haikua sure na majibu yake ya kwanza,ndio maana wakaliwithdraw..chakujiuliza hapa ni kwanini wali withdraw..ukithink greatly utaona kuna kilichojificha hapo
   
 11. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Makinda yupo hapo kuilinda ccm na serikali yake mbovu.
   
 12. m

  mamajack JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ila speaker anajibu kama ni upatu vile,kumbe wanajadili mambo ya msingi.duh,kweli wanahaha.
   
 13. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Akili nyingine bwana? Yaani wewe mpaka hapo huoni kuna tatizo tena la MSINGI. Waziri analeta majibu, kabla ya kuyasoma ana WITHDRAW analete majibu mengine? Halafu wewe unaona that is normal? Kweli vidole havilingani, kama vile akili ni nywele kila mtu ana zake
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,814
  Likes Received: 36,906
  Trophy Points: 280
  "Wametoa Berreta, wameingiza SMG bungeni" By GodBless Lema.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  cloney, Tundu Lisu amefafanua kuwa ili ku-withdraw majibu ni lazima itolewe notice!! hiyo ndiyo hoja kuu iliyomtoa nishai waziri kuonyesha amebabaisha. imeelezwa na Lisu pia kanuni za bunge zinaelekeza majibu yanayosomwa na waziri shuruti yawe ndiyo aliyompatia muuliza swali. WAZIRI NA SPIKA WAMEUMBUKA!!!
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Duuuuuuuhhhh aiseeeeeeeeeeee
   
 17. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  kitaeleweka tu
   
 18. mashami

  mashami Senior Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  T2015CDM hakuna atakayepona
   
Loading...