Majibu ya kukata mishaara ya baadhi ya watumishi wa serikali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majibu ya kukata mishaara ya baadhi ya watumishi wa serikali.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makongorosi, Feb 4, 2011.

 1. m

  makongorosi Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  -Serikali haikusanyi kodi.
  -Serikali inarudisha madeni ya garama za kampeni za ccm, mfano kukodi ndege ya kumpeleka mama Salma kwenye kampeni za mumewe.
  -Mkulo anakodishiwa ndege kwenda kwenye maafari dodoma huku akijaza mafuta shangingi lake limfuate dodoma akalitumie kwenye mizunguko yake.
  -kikwete bado anasafiri na wasaidizi wake.
  -Mashangingi kwaajili ya waheshimiwa serikalini bado yananunuliwa kwa kasi ileile.
  -Umeme wa mgao, uzalishaji hakuna/umepungua kodi italipwa na nini?
  -Birthday part na nyinginezo nyingi zisizoisha ikulu kuanzia kwa muheshimiwa hadi kwa wajukuu unafikiri pesa itatoka wapi bila kuzipata toka kwa mapolisi na watumishi wengine serikalini.
  -Na nyinginezo nyingi tu ambazo hatuzifahamu.
  Kwa msingi huo unafikiri rushwa itaisha wapi kwa kuwa wakatwaji itabidi wafidie kutoka kwa wananchi wanapoenda kwenye idara za uma kupata huduma ambayo ni haki yao.
   
 2. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  KWa nini tusilipue nguzo za umeme toka Kidatu na Mtela ili iwe giza kila kona?

  Wakimwaga Mboga sisi tunayoyoma na sinia la wali.
   
Loading...