Majibu ya interview UDSM (Tutorial assistant, lecturers)

Habari wakuu.. kwa wale waliofanya interviews za ajira UDSM kwenye academic positions.. vipi majibu yashatoka?
Zamani interview ilikuwa ni GPA yako from the same institution maana wamekutrain wao, wanakujua uwezo wako then hakuna haja ya interview. Ndiyo maana hakuna Profesa vyuoni siku hizi. Kuna wenye GPA ya 5 toka KampalaUniv. akijieleza vizuri na GPA hiyo mavi anakuwa TA... kesho..... products??????.... mavi
 
Duh kumbe.. siku hizi mambo yakoje sasa?

Miaka ya 1980 UDSM kama ulikuwa na GPA(3.8 and above...nadhani sikumbuki vizuri....) wanayoitaka wao, ulikuwa unabaki kuwa TA. Hakuna interview. Wanakujua in and out, basi unabaki.
 
Duh.. ni zamani sana kumbe.. zaidi ya 35+ years
Miaka ya 1980 UDSM kama ulikuwa na GPA(3.8 and above...nadhani sikumbuki vizuri....) wanayoitaka wao, ulikuwa unabaki kuwa TA. Hakuna interview. Wanakujua in and out, basi unabaki.
 
Dah, hii habar mm nimeipata kutoka MTU aliye pale pale udsm staff. Ila pengine alinidanganya. So tusubiri habari ya uhakika zaidi.
 
Zamani interview ilikuwa ni GPA yako from the same institution maana wamekutrain wao, wanakujua uwezo wako then hakuna haja ya interview. Ndiyo maana hakuna Profesa vyuoni siku hizi. Kuna wenye GPA ya 5 toka KampalaUniv. akijieleza vizuri na GPA hiyo mavi anakuwa TA... kesho..... products??????.... mavi
Ni kweli zamani ukiwa umefanya vizuri na GPA kubwa unabakizwa chuo kuwa T.A ila kwasasa ni tofauti kwani wanaotoa kibali cha kuajiri ni utumishi na mpaka mkuu mwenyewe aamue.Wanaofanya vizuri vyuoni siku hizi pia ni wengi kwahio huwezi kuchukua wote lazima uchuje na kuchukua aliebora zaidi kupitia usaili!!Ndo mana kwasasa hata zikitangazwa academic posts wanafanya both written and oral interview!!
Ukipita zote hizo basi wewe upo vizuri aisee manake interview za vyuo vikuu hasa vya serikali ni ngumu na zina ushindani pia!!
 
Mitihani rais wanapewa! University educaton hamuwezi kufnya vizuri wengi! Mitihani ya kuiba, marks za chupi, etc!
 
Ndo maana nikasema wanamaliza na GPA kubwa haijalishi wamezipata kwa njia gani!!ndo mana kuna interviews siku hizi vyuoni sio kama zamani kubakishwa tu
 
Natanguliza kuomba msamaha kwa wanjamvi wote katika uzi huu.
Awali wakati kazi zinatangazwa na mchakato mzima wa interview nilikuwa nawasiliana na mmoja wa wahusika katika zile ajira, na mpaka mwisho aliniambia kuwa washapata watu na watawaita kabla ya September kuisha, hivyo nikajua wamesha waita.
But wiki 2 zilizo pita nilikuwa pale udsm na nikakutana na yule mwalim na akanieleza kuwa
ISSUE YA KUITA WATU KAZINI BADO ILA ITAFANYIKA WAKATI WOWOTE.
Hivyo nitumie nafasi hii kuwaomba radhi watu wote ambao niliwakatish tamaa sana, niwaambie kwamba haya ni makosa ya kibinadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitihani rais wanapewa! University educaton hamuwezi kufnya vizuri wengi! Mitihani ya kuiba, marks za chupi, etc!
mkuu too generalization.Akili kumkichwa.Kama ni ngumu kumpata anayefanya vizuri katika chupi!labda wale vilaza wanaoshindwa koziweki.
pia kuwa mitihani wanaiba sina uhakika sana wala kuvuja mtihan si rahis kama unavyodhan,Ni kukomaa kama ada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom