Zamani interview ilikuwa ni GPA yako from the same institution maana wamekutrain wao, wanakujua uwezo wako then hakuna haja ya interview. Ndiyo maana hakuna Profesa vyuoni siku hizi. Kuna wenye GPA ya 5 toka KampalaUniv. akijieleza vizuri na GPA hiyo mavi anakuwa TA... kesho..... products??????.... maviHabari wakuu.. kwa wale waliofanya interviews za ajira UDSM kwenye academic positions.. vipi majibu yashatoka?
Ndio mkuu.. vipi una habari zozote?Unazungumzia iliyofanyika mwezi wa tisa?
Zamani interview ilikuwa ni GPA yako from the same institution maana wamekutrain wao, wanakujua uwezo wako then hakuna haja ya interview. Ndiyo maana hakuna Profesa vyuoni siku hizi. Kuna wenye GPA ya 5 toka KampalaUniv. akijieleza vizuri na GPA hiyo mavi anakuwa TA... kesho..... products??????.... mavi
Watu Wamepatiwa kazi tayar tangu mwanzoni mwa octoberNdio mkuu.. vipi una habari zozote?
Miaka ya 1980 UDSM kama ulikuwa na GPA(3.8 and above...nadhani sikumbuki vizuri....) wanayoitaka wao, ulikuwa unabaki kuwa TA. Hakuna interview. Wanakujua in and out, basi unabaki.Duh kumbe.. siku hizi mambo yakoje sasa?
Miaka ya 1980 UDSM kama ulikuwa na GPA(3.8 and above...nadhani sikumbuki vizuri....) wanayoitaka wao, ulikuwa unabaki kuwa TA. Hakuna interview. Wanakujua in and out, basi unabaki.
Watu Wamepatiwa kazi tayar tangu mwanzoni mwa october
Dah, hii habar mm nimeipata kutoka MTU aliye pale pale udsm staff. Ila pengine alinidanganya. So tusubiri habari ya uhakika zaidi.
Ni kweli zamani ukiwa umefanya vizuri na GPA kubwa unabakizwa chuo kuwa T.A ila kwasasa ni tofauti kwani wanaotoa kibali cha kuajiri ni utumishi na mpaka mkuu mwenyewe aamue.Wanaofanya vizuri vyuoni siku hizi pia ni wengi kwahio huwezi kuchukua wote lazima uchuje na kuchukua aliebora zaidi kupitia usaili!!Ndo mana kwasasa hata zikitangazwa academic posts wanafanya both written and oral interview!!Zamani interview ilikuwa ni GPA yako from the same institution maana wamekutrain wao, wanakujua uwezo wako then hakuna haja ya interview. Ndiyo maana hakuna Profesa vyuoni siku hizi. Kuna wenye GPA ya 5 toka KampalaUniv. akijieleza vizuri na GPA hiyo mavi anakuwa TA... kesho..... products??????.... mavi
Mitihani rais wanapewa! University educaton hamuwezi kufnya vizuri wengi! Mitihani ya kuiba, marks za chupi, etc!Ni kweli zamani ukiwa umefanya vizuri na GPA kubwa unabakizwa chuo kuwa T.A ila kwasasa ni tofauti kwani wanaotoa kibali cha kuajiri ni utumishi na mpaka mkuu mwenyewe aamue.Wanaofanya vizuri vyuoni siku hizi pia ni wengi kwahio huwezi kuchukua wote lazima uchuje na kuchukua aliebora zaidi kupitia usaili!!Ndo mana kwasasa hata zikitangazwa academic posts wanafanya both written and oral interview!!
Ukipita zote hizo basi wewe upo vizuri aisee manake interview za vyuo vikuu hasa vya serikali ni ngumu na zina ushindani pia!!
Ndo maana nikasema wanamaliza na GPA kubwa haijalishi wamezipata kwa njia gani!!ndo mana kuna interviews siku hizi vyuoni sio kama zamani kubakishwa tuMitihani rais wanapewa! University educaton hamuwezi kufnya vizuri wengi! Mitihani ya kuiba, marks za chupi, etc!
mkuu too generalization.Akili kumkichwa.Kama ni ngumu kumpata anayefanya vizuri katika chupi!labda wale vilaza wanaoshindwa koziweki.Mitihani rais wanapewa! University educaton hamuwezi kufnya vizuri wengi! Mitihani ya kuiba, marks za chupi, etc!