Majibu ya Inter university transfer yanachukuwa muda gani na yanapatikana wapi?

INRI

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,294
2,000
Habari wakuu,

Nauliza baada ya TCU kufunga dirisha tarehe 14th December 2020 kwa waombaji wa kuhama chuo

Je, majibu huchukua muda gani?

Je, majibu unayapata wapi?

Ndugu yangu ananisumbua hapa nimeona nilete hili suala humu kwa msaada zaidi.

Kama kuna mtu kajibiwa nifahamu

Ahsante!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom