mpayukaji
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 940
- 349
Karibu kila unapofanyika mkutano wa uchumi wa kimataifa, rais Jakaya Kikwete huwa hakosi. Bahati mbaya, huwa haendi pekee. Mwaka huu ameondoka na watu 14. Ajabu pamoja na kuhudhuria mikutano karibu yote ya Davos tangu aingie madarakani, sera zake za uchumi hazifanani na Davos! Kulikoni? Tatizo ni Davos au Kikwete? Hivi hata kuingia mikataba sahihi na halali badala ya ile ya kijambazi na haramu kunahtiaji kwenda Davos?