Majibu ya hovyo na ya kuchefua mtu anaposhindwa kutetea hoja yake

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,355
45,706
Ni kawaida kwa binadamu yoyote kufilisika hoja au kukosa majibu yenye ushwawishi katika mazungumzo au ubishani wowote ule hapo ndipo hekima humtuma binadamu aliyestaarabika kukubali yanayosemwa na upande wa pili au kukaa kimya lakini bahati mbaya sehemu kubwa ya binadamu bado wana kiwango cha chini cha ustaarabu kuafiki hivyo hapo ndipo utasikia majibu kama vile Mbona fulani amefanya au amesema hivi na vile, unakuwa mbishi tu, sisi ndio tunajua, hii ni taasisi, usitufokee, huu ni utamaduni wetu n.k

Majibu gani mengine ya hovyo uliyowahi kukutana nayo?
 
Utaskia bwana mdogo nikijarbu hata tazama umri nimekuacha parefu so jarbu kusikiliza nacho kisema
 
Back
Top Bottom