Majibu ya dawa za kulevya

Aug 21, 2013
15
0
Nakumbuka miezi iliyopita mheshimiwa mwakyembe alisema kuwa keshapeleka kesi kama 30 za madawa ya kulevya na waziri wa mambo ya ndani anashughulikia kwani kapewa kazi hiyo, atueleze wamechukuliwa hatua gani, na sembe walilokamatwa nalo liko wapi, lakini mpaka leo naona kimya, jamani naomba wadau mtujuze
 
nakumbuka miezi iliyopita mheshimiwa mwakyembe alisema kuwa keshapeleka kesi kama 30 za madawa ya kulevya na waziri wa mambo ya ndani anashughulikia kwani kapewa kazi hiyo, atueleze wamechukuliwa hatua gani, na sembe walilokamatwa nalo liko wapi, lakini mpaka leo naona kimya, jamani naomba wadau mtujuze

ndugu yangu ngoja nikupe mfano...... Dunia tunayoishi kuna kiongozi mkubwa ambaye ni mkuu katika kupiga vita madawa ya kulevya ,,lakini njia ya kwenda airport nchini mwake wamepanda mimea hiyo na akifika maeneo hayo hugeuza shingo upande wa pili...........mambo haya ni magumu kuliko unavyofikiria kwa akili za kibinadamu............toka enzi za akina pablo escobar........kwa hapa kwetu haya mambo ni mageni na ninakuhakikishia kamwe vita vya madawa havitafanikiwa milele........
 
Pablo Emilio Escobar Gavíria was a wealthy Colombian drug lord and an elusive cocaine trafficker. In 1983, he had a short-lived career in Colombian politics. Wikipedia
UKISIKIA MWANA SIASA ANZUNGUMZIA MADAWA NAYE NI MMOJA WAO.......NA HAPA KWETU NDO VILE MDOGO MDOGO .....
 
In 1982 Escobar was elected as a deputy/alternative representative to the House of Representatives
 
ndugu yangu ngoja nikupe mfano...... Dunia tunayoishi kuna kiongozi mkubwa ambaye ni mkuu katika kupiga vita madawa ya kulevya ,,lakini njia ya kwenda airport nchini mwake wamepanda mimea hiyo na akifika maeneo hayo hugeuza shingo upande wa pili...........mambo haya ni magumu kuliko unavyofikiria kwa akili za kibinadamu............toka enzi za akina pablo escobar........kwa hapa kwetu haya mambo ni mageni na ninakuhakikishia kamwe vita vya madawa havitafanikiwa milele........

kinachokosa ni utashi wa kweli kwa maana ya uamuzi wa kusimamia sheria zetu; vita hii ni nyepesi sana kwani wanaoiendekeza ni rahisi kupatikana kwani wanapitia viwanja vya ndege vyetu. inatakiwa unakamata mmoja hata kama dagaa ama punda, naye anakupeleka kwa boss wake aliyemtuma, naye vivyo hivyo mpaka nyangumi wao anapatikana.
 
njia hiyo ni nzuri ila kwa uhalisia huwa haifanikiwi......imesha feli mara nyingi tu si hapa tz tu ni dunia nzima........
 
kwa maisha haya nadhani hata mimi muda si mrefu nitaanza kujihusisha na hyo biashara
 
Msome pia hapo chini alafu uniambie kama hawa wanaofanya kazi zao majukwaani wanaweza hiyo vita.
Pablo Emilio Escobar Gavíria was a wealthy Colombian drug lord and an elusive cocaine trafficker. In 1983, he had a short-lived career in Colombian politics.Wikipedia
UKISIKIA MWANA SIASA ANZUNGUMZIA MADAWA NAYE NI MMOJA WAO.......NA HAPA KWETU NDO VILE MDOGO MDOGO .....
Colombian drug lord Pablo Escobar made so much money, he spent $2,500 every month just on rubber bands to bundle up his stacks of cash.
 
Hakuwezi kuwemo Mtanzania miongoni mwao!?
Dec. 13, 2013 11:31 PM EST

HANOI, Vietnam (AP) - A court in central Vietnam has sentenced five people, including four women, to death and another to life in prison for trafficking heroin from neighboring Laos.
The six were found guilty Friday by the court in Nghe An province on charges of trafficking 89 kilograms (196 pounds) of heroin between March and July last year, when the ring was uncovered, the state-run Thanh Nien newspaper reported.

Court officials were not available for comment Saturday.
In 2011, the Communist country decided to switch from firing squads to lethal injection on humanitarian grounds, but only seven convicts have been executed since August as Vietnam struggled to obtain needed chemicals.
There are currently nearly 700 people on the death row in Vietnam.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom