Hello wanaJF.
Mimi na mke wangu tumetafuta mtoto Kwa mwaka mzima sasa bila mafanikio. Juzi nikaenda hospitali na kufanya vipimo vifuatavyo ...
1. Sperm/Semen Analysis:
2. Testosterone:
3. FBC:
4. Urine:
Taarifa za nyongeza:
===> Rangi ya Manii zangu ni 'light yellow' kwa kiasi kikubwa. Chache sana (tone moja hivi) ni rangi nyeupe/kijivu.
===> Manii ni nyepesi. Zinayeyuka haraka.
===> Kwenye tendo la ndoa, nikishamwaga ndani ya uke, manii zote zinachuruzika kutoka nje hata kama mwanamke amelala chali.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu. Je kwa vipimo hivyo, afya yangu ya uzazi iko vizuri?
Ahsanteni.