Majibu mabaya kabisa ya Halima Mdee kwa Cecil Mwambe

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
6,104
9,205
Yani Bora Nafuu Ya CCM kuliko hii CHADEMA takataka kabisa

Halima James Mdee

Kikubwa ninachompongeza huyu DOGO,alishtukia MIAKA 5 inakatika wa TZ hawajui kama kuna MBUNGE anaitwa MWAMBE😂..na Bunge LIVE ndio kama hivyo HALIPO...ALIJUA akijitosa KUCHUANA na MWAMBA kungempaisha japo KIDUCHU!! Si haba kwa kweli..kwa hilo amewezamo japo kidogo!!😂


Darmpya

"Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8" Mhe. Cecil Mwambe


Screenshot_20191222-115657.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia tu mbowe kashinda, naomba kujua kura walizopata kila mmoja wao kati ya Mbowe na Mwambe
 
Huu ni utoto sikutegemea kabisa kama Mdee anaweza ongea maneno ya kipumbavu namna hii Mwambe alitumia haki yake ya kidemocrasia kugombea

Kwahyo ndani ya chadema kuna watu special ambao wanatakiwa kugombea na wasiotakiwa kugombea?

Sasa kuna tofauti gani ya kuwa mpinzani na chama tawala kama mnataka kufanana kwa kila jambo?
 
Piganeni kabisa, Niko hapa na First Aid Kit iko full mazaga mwambeeeeee piga hao...

Halafu hka ka halima kanaita watu madogo wakat kenyewe hakajavunja hata UNGO na sauti lake...

Kasubiri kavunje ungo kwanza sauti inyorokeee ndio kaendelee na kuita wenzie madogo...
 
Huu ni utoto sikutegemea kabisa kama Mdee anaweza ongea maneno ya kipumbavu namna hii Mwambe alitumia haki yake ya kidemocrasia kugombea kwahyo ndani ya chadema kuna watu special ambao wanatakiwa kugombea na wasiotakiwa kugombea?
Hii ameandika polepole lumumba sio Halima Mdee.
 
Back
Top Bottom