Majibu kwa Mnyika na CHADEMA juu ya watumishi wa umma na mikutano ya CCM

Bwanamdogo Kapotolo
hakuna anayeshindana hapa, tunazungumza. Mimi kuzungumza na mbunge wangu wewe inakuuma nini? Umeamkaje hata hivyo?

Hivi huyu nae ana wabunge wake??????? Hii nchi ni ya ajabu sana! Hii ni mojawapo ya dhalau za viongozi wetu, jk ana wabunge wake! Na wewe una wako pia? Uuuii ee mola!
 
John Mnyika

jembe,hebu kwanza kula tano kwa ule ushindi wako wa jana dhidi ya yule mama kiherehere,halafu usiache kuwa unakipa shule hiki kiazi (nepi) ingawa nafahamu usumbufu uliopo unapojibizana na mtu mweupe kichwani aina ya nape.Mwisho unakuja kutupa hai lini huku bunda kwa sasa hivi tunaye kamanda lema huku,si uajua wewe i zaidi ya mbuge wa ubugo,wewe ni nationalwise mbuge..........aiseee pamoja sana kamanda
 
Last edited by a moderator:
acha porojo wewe!kila mtu ana uwezo wake wa kufikiri hatulingani.au una mfano wa watu wenye uwezo sawa wa kufikiri?umetumia vigezo gani kujua kuwa hao watu wanalingana uwezo wa kufikiri?haya basi jibu hoja zake sio kudharau uwezo wake wa kufikiri....

Wachumia msingi utawajua tu!
 
Sometimes najiuliza kwanini watu kama hawa kina Nape wamepewa uongozi wajuu kwenye chama wakati hata hajui kupanga hoja

Mkuu Ousofia

Kwasabab ni mtoto wa kada mwenzetu, kubwa zaidi nikatika harakati za kuunda na kuendeleza serikali ya kulindana kwa maana

ya familia za wanasiasa kushika madaraka kwa lengo la kuficha na kuwalinda wazazi wao wasiaibike siku moja iwapo serikali

itatolewamadarakani. (Hapa hapaangaliwi uwezo wa mtu bali upayukaji na mtoto wa nani ndiyo vigezo basi)
 
Nape shalom! Hongera kwa hoja madhubuti. Vipi unaweza kutueleza hapa jamvini wewe mwenyewe matokeo yako ya Form 4 na Form 6? Naona hapa kuna watu wanakuonea wivu. Mwaga CV yako hapa mkuu watu wapate kitu live. Alafu watabaki kimyaaaaaaa
 
Acha usanii wa maneno wewe Nape, tumeona kwa macho yetu na kusikia kwa masikio yetu yule mama aliyejichubua katibu wa CCM akijigamba kuwa apelekewe majina ya hao watendaji ataweka saini kupitisha yaende ngazi za juu washugulikiwe...

Wewe baada ya kukumbana na aibu ya jana kuja na maneno ya kashfa dhidi ya Mnyika kuwa alikimbia shule lakini watu wakaonesha hapa kuwa form 4 Mnyika alipata Division 1 ya point 7 wewe ulipata division 4; na form 6 Mnyika alipata div 1 ya point 3 wewe ukapata division ZERO, umeamua kuja kivingine kwa heshima ya mgongo wa chupa kujidai kumwita Mnyika mbunge wako. Kinachokupa kiburi ni uwezo wako wa kununua vyeti hadi cha Masters kwa kuwa ninyi CCM mmeingiza ufisadi hadi kwenye elimu.

By the way bosi wako JK ana PhD tano, DR DR DR DR DR Kikwete, but alivyokuwa chuo GPA yake ilikuwa 2.1, ambayo chuo wanaita GPA ya kuku. Ndio maana CCM inapwaya sana kiuongozi kwa kuwa watu wenye IQ za kuku ndio mnaongoza chama na nchi. Mwenzio Mwigulu alifeli darasa la saba akaacha jina la Lameck Madelu na kununua la Mwigulu Nchemba.

CCM is full of failures
Nakubaliana na wewe kabisa kwamba IQ ya viongozi wa ccm ni almost zero na hii inadhihirishwa na hoja za viongozi wake kama akina Nape na Mwenyekiti wake.
 
acha usanii wa maneno wewe nape, tumeona kwa macho yetu na kusikia kwa masikio yetu yule mama aliyejichubua katibu wa ccm akijigamba kuwa apelekewe majina ya hao watendaji ataweka saini kupitisha yaende ngazi za juu washugulikiwe...

Wewe baada ya kukumbana na aibu ya jana kuja na maneno ya kashfa dhidi ya mnyika kuwa alikimbia shule lakini watu wakaonesha hapa kuwa form 4 mnyika alipata division 1 ya point 7 wewe ulipata division 4; na form 6 mnyika alipata div 1 ya point 3 wewe ukapata division zero, umeamua kuja kivingine kwa heshima ya mgongo wa chupa kujidai kumwita mnyika mbunge wako. Kinachokupa kiburi ni uwezo wako wa kununua vyeti hadi cha masters kwa kuwa ninyi ccm mmeingiza ufisadi hadi kwenye elimu.

By the way bosi wako jk ana phd tano, dr dr dr dr dr kikwete, but alivyokuwa chuo gpa yake ilikuwa 2.1, ambayo chuo wanaita gpa ya kuku. Ndio maana ccm inapwaya sana kiuongozi kwa kuwa watu wenye iq za kuku ndio mnaongoza chama na nchi. Mwenzio mwigulu alifeli darasa la saba akaacha jina la lameck madelu na kununua la mwigulu nchemba.

mkuu nakugongea like yangu yaani umemaliza kila kitu, yaani vyeo vya kupewa vina kazi. Huyu vuvuzela la ccm halina mashariki wala magharibi haoni wala haelewi maana kalewa vibaya sana.

Ila mpe pole analo na limemganda ccm hakuna mwema hata mmoja hata ashuke malaika ailyeandikwa ccm tayari atakuwa najisi katika utawala huu wa kibepari watu wanaopenda kuua wengine wasiomwogopa hata mungu wanaishia tu kuua raia wasiokuwa na hatia ila wakati wa mungu wa kusimama na kufanya mabadiliko kwa ajili ya taifa la tanzania kama alivyofanya kwa wana wa israel ni sasa na wakati uliokubalika kwa watanzania kuwa macho na kujiandaa ni sasa.

Hakuna kurudi nyuma vikwazo ni vingi ila mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?
 
Asante John Mnyika kwa kumpa darasa Nnauye Jr kwaajili yake na wana ccm, kwakweli hoja ni nzito sana kwa uwezo wa Nnauye Jr bila shaka anaweza kuanzisha uzi mwingine kama kawaida yake!

Me naona kulikuwa hakuna haja yakwenda India kucheza kuchi kuchi kama vitu vidogo vya kukaa chini na kusoma vinamsginda Nnauye Jr, yani hata kusoma sheria za utumishi wa umma ataki alaf anategemea sijui asaidiwe nini zaidi ya kushauriwa akzisome?
 
Last edited by a moderator:
Nape shalom! Hongera kwa hoja madhubuti. Vipi unaweza kutueleza hapa jamvini wewe mwenyewe matokeo yako ya Form 4 na Form 6? Naona hapa kuna watu wanakuonea wivu. Mwaga CV yako hapa mkuu watu wapate kitu live. Alafu watabaki kimyaaaaaaa

Anayo hiyo CV ya kumwaga.....tantarira huyu, labda umwazime yako
 
Nape,

Ungetueleza hatma ya Chenge na Lowassa kuhusu kuvuana gamba, hizi porojo hatuzihitaji kwakweli. Tuambie siku 90 bado hazijaisha,ukiachilia mbali yule mzee wa siasa uchwara aliyeamua kujitoa mwenyewe.

Vijana tulikutegemea sana,hatukutegemea kukuona leo unakata viuno kwa kupiga gitaa huku ukiwaburudisha mafisadi. Umepata pesa na sasa umesahau wajibu wako wa msingi na vision uliyokuwa nayo.

Nimeamua kuandika leo, lakini huwa sipendi kabisa kuchangia thread zako ambazo ni za kutukana tu viongozi wa upinzani.
 
Uwezo wa Mnyika na Nape kuchambua mambo ni kama mbingu na ardhi.

Nimeanzaa kujua ni kwa nini Kilaza Hawa Ng'umbi alimshinda Nape kwenye kura za maoni.

Katika CCM mtu pekee anayeweza kujibizana hoja na Mnyika ni January Makamba pekee.
 
LAKINI PIA NAPE UNAYO NAFASI KUBWA YA KUJIULIZA KWANINI HAUNGWI MKONO , UNAPINGWA NA WATU WENGI KWENYE THREAD ZAKO NYINGI? ni werevu kama unajua lipo tatizo?? au unatumikia tumbo tuu??
 
Ifike hatua kila mtu ajikubali jinsi alivyo, Nape, aka anazopewa ni sahihi kabisa! Nimesoma maelezo yako na kuna kitu umeandika sijui ulikuwa mbwii au?
Nanukuu
".... Hawakuitwa na CCM, waliitwa na Mkuu wa wilaya ..."
Hivi CCM ni limti au ni kitu gani?
Mkuu wa Wilaya si ndo Mwakilishi wa Rais ndani ya Wilaya?
Rais si ndo Mwenyekiti wa CCM?

Nape ulitaka wakiitwa na CCM waitwe kivipi?

Kwa kweli unachosha na maelezo yako yasiyokuwa na mwelekeo.
 
Acha usanii wa maneno wewe Nape, tumeona kwa macho yetu na kusikia kwa masikio yetu yule mama aliyejichubua katibu wa CCM akijigamba kuwa apelekewe majina ya hao watendaji ataweka saini kupitisha yaende ngazi za juu washugulikiwe...

Wewe baada ya kukumbana na aibu ya jana kuja na maneno ya kashfa dhidi ya Mnyika kuwa alikimbia shule lakini watu wakaonesha hapa kuwa form 4 Mnyika alipata Division 1 ya point 7 wewe ulipata division 4; na form 6 Mnyika alipata div 1 ya point 3 wewe ukapata division ZERO, umeamua kuja kivingine kwa heshima ya mgongo wa chupa kujidai kumwita Mnyika mbunge wako. Kinachokupa kiburi ni uwezo wako wa kununua vyeti hadi cha Masters kwa kuwa ninyi CCM mmeingiza ufisadi hadi kwenye elimu.

By the way bosi wako JK ana PhD tano, DR DR DR DR DR Kikwete, but alivyokuwa chuo GPA yake ilikuwa 2.1, ambayo chuo wanaita GPA ya kuku. Ndio maana CCM inapwaya sana kiuongozi kwa kuwa watu wenye IQ za kuku ndio mnaongoza chama na nchi. Mwenzio Mwigulu alifeli darasa la saba akaacha jina la Lameck Madelu na kununua la Mwigulu Nchemba.

CCM is full of failures
Nakubaliana na wewe kabisa kwamba IQ ya viongozi wa ccm ni almost zero na hii inadhihirishwa na hoja za viongozi wake kama akina Nape na Mwenyekiti wake.
 
LAKINI PIA NAPE UNAYO NAFASI KUBWA YA KUJIULIZA KWANINI HAUNGWI MKONO , UNAPINGWA NA WATU WENGI KWENYE THREAD ZAKO NYINGI? ni werevu kama unajua lipo tatizo?? au unatumikia tumbo tuu??

Nape, Mulugo, JK wale wale tu!
 
Back
Top Bottom