MAJIBU: Hivi ndivyo nilivyoraise million 7

miss username

Member
Mar 30, 2013
78
28
Mwaka

2011 nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa jijini Mwanza kwa
kozi ya Education.

Nilibahatika kupata mkopo ila sikuwaeleza nyumbani kwamba nimepata
ufadhili kutoka heslb.

Nilifanya hivyo kwani najua baba yangu anao uwezo wa kunilipia tution
fee pamoja na matumizi mengine ya kichuo.

Hivyo my baba ambaye yeye yuko Dar huwa ananitumia pesa za mahitaji yote
ya chuo ninayo hitaji.
Tukapewa bum kwa awamu ya kwanza kabisa ambayo ilikuwa laki saba na
ushee pia baba akanitumia hela ya ada ambayo ilikuwa laki saba na
arobaini na tano. Kati ya hizo pesa za ada nililipa kiasi cha laki mbili
tu hivyo nuikabakiwa na kiasi kikubwa tu cha pesa.

Nakumbuka mwezi wa kumi na moja 2011 nilikuwa na zaidi ya milioni na
nusu kwenye akaunti yangu ya NMB niliyoifungua special for my own
savings.

Pesa yote hiyo nilianzisha vibiashara vidogo vidogo ambavyo mpaka sasa
vinanipatia faida si chini ya laki tatu na ushee

Kupitia heslb peke yake mpaka leo namalizia mwaka wa pili nimesave kama
milion 5 bado faida yangu ya kila mwezi laki 3 na malupulupu mengine
kutoka kwa mzee na ukizingatia mimi sio mtu wa starehe wala sio sista du.

Vipodoz vyangu ni poda na lip shiner nywele zangu natural situmii mawigi hata siku moja. Vyakula vyangu ugali makande ubwabwa na chips kwa mbali.

Milioni saba hela ndogo sana msishangae ukiamua unaweza
 
Mwaka 2011 nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa jijini Mwanza kwa kozi ya Education.

Nilibahatika kupata mkopo ila sikuwaeleza nyumbani kwamba nimepata ufadhili kutoka heslb.

Nilifanya hivyo kwani najua baba yangu anao uwezo wa kunilipia tution fee pamoja na matumizi mengine ya kichuo.

Hivyo my baba ambaye yeye yuko Dar huwa ananitumia pesa za mahitaji yote ya chuo ninayo hitaji

Asante kwa ufafanuzi. Ka uko mza ukinunua hiyo gari haitakutesa sana mafuta, kwani foleni si kiivyo.
 
wala hukuwa na haja yakumueleza mtu jinsi ulivyopata pesa yako mrembo.....hata hivyo hongera kwa kufanya biashara wakati huo huo ukiwa unasoma....jamaa waliokua wakikushauri ufanyie biashara hawakua na nia mbaya....pamoja na yote...wewe ndio utakayeamua ufuate ushauri gani...kila la heri miss................
 
Mwaka

2011 nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa jijini Mwanza kwa
kozi ya Education.

Nilibahatika kupata mkopo ila sikuwaeleza nyumbani kwamba nimepata
ufadhili kutoka heslb.

Nilifanya hivyo kwani najua baba yangu anao uwezo wa kunilipia tution
fee pamoja na matumizi mengine ya kichuo.

Hivyo my baba ambaye yeye yuko Dar huwa ananitumia pesa za mahitaji yote
ya chuo ninayo hitaji.
Tukapewa bum kwa awamu ya kwanza kabisa ambayo ilikuwa laki saba na
ushee pia baba akanitumia hela ya ada ambayo ilikuwa laki saba na
arobaini na tano. Kati ya hizo pesa za ada nililipa kiasi cha laki mbili
tu hivyo nuikabakiwa na kiasi kikubwa tu cha pesa.

Nakumbuka mwezi wa kumi na moja 2011 nilikuwa na zaidi ya milioni na
nusu kwenye akaunti yangu ya NMB niliyoifungua special for my own
savings.

Pesa yote hiyo nilianzisha vibiashara vidogo vidogo ambavyo mpaka sasa
vinanipatia faida si chini ya laki tatu na ushee

Kupitia heslb peke yake mpaka leo namalizia mwaka wa pili nimesave kama
milion 5 bado faida yangu ya kila mwezi laki 3 na malupulupu mengine
kutoka kwa mzee na ukizingatia mimi sio mtu wa starehe wala sio sista du.

Vipodoz vyangu ni poda na lip shiner nywele zangu natural situmii mawigi hata siku moja. Vyakula vyangu ugali makande ubwabwa na chips kwa mbali.

Milioni saba hela ndogo sana msishangae ukiamua unaweza

Mhh dada unapga education then mshahara laki 3 mhhh
 
Nilikutetea sana kumbe ni kweli umeiba Mpwa, yaani umemuibia Baba yako mzazi? Mmmmhhh tubu mwaya tuendeleee na maisha. Hongera pia maana engine hawawezi hata kuibia wakati uwezo WA kuiba upo.....hongera it is scientific and automatic.
 
Mwaka

2011 nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa jijini Mwanza kwa
kozi ya Education.

Nilibahatika kupata mkopo ila sikuwaeleza nyumbani kwamba nimepata
ufadhili kutoka heslb.

Nilifanya hivyo kwani najua baba yangu anao uwezo wa kunilipia tution
fee pamoja na matumizi mengine ya kichuo.

Hivyo my baba ambaye yeye yuko Dar huwa ananitumia pesa za mahitaji yote
ya chuo ninayo hitaji.
Tukapewa bum kwa awamu ya kwanza kabisa ambayo ilikuwa laki saba na
ushee pia baba akanitumia hela ya ada ambayo ilikuwa laki saba na
arobaini na tano. Kati ya hizo pesa za ada nililipa kiasi cha laki mbili
tu hivyo nuikabakiwa na kiasi kikubwa tu cha pesa.

Nakumbuka mwezi wa kumi na moja 2011 nilikuwa na zaidi ya milioni na
nusu kwenye akaunti yangu ya NMB niliyoifungua special for my own
savings.

Pesa yote hiyo nilianzisha vibiashara vidogo vidogo ambavyo mpaka sasa
vinanipatia faida si chini ya laki tatu na ushee

Kupitia heslb peke yake mpaka leo namalizia mwaka wa pili nimesave kama
milion 5 bado faida yangu ya kila mwezi laki 3 na malupulupu mengine
kutoka kwa mzee na ukizingatia mimi sio mtu wa starehe wala sio sista du.

Vipodoz vyangu ni poda na lip shiner nywele zangu natural situmii mawigi hata siku moja. Vyakula vyangu ugali makande ubwabwa na chips kwa mbali.

Milioni saba hela ndogo sana msishangae ukiamua unaweza
Huo ni wizi
 
Kuna watu wa ajabu sana hapa duniani. Yaani Jitu linamwibia baba yake halafu linakuja hapa kujisifu. Huo unaowekeza ni moto siku ya kiama lazima uingie Jehannam. Mungu hawezi kukuhurumia kwa kumwibia baba yako. Natamani nikuone unafananaje.
 
Yaani wabongo mna magubu kama nini.
Juzi mlimuandama kwa kumwambia kuwa atoe mchanganuo wa jinsi alivyopata hiyo Mil.7 yake.
Leo kaja na huo mchakato wa jinsi alivoipata mnasema kaiba.
Dah!
Ila angekuwa kidume mwenzenu mngemuita 'Jembe' ila kwa kuwa demu basi kaiba.
 
Kuna watu wa ajabu sana hapa duniani. Yaani Jitu linamwibia baba yake halafu linakuja hapa kujisifu. Huo unaowekeza ni moto siku ya kiama lazima uingie Jehannam. Mungu hawezi kukuhurumia kwa kumwibia baba yako. Natamani nikuone unafananaje.

Kakwambia babake ana uwezo wa kumsomesha....in fact baba anafanya wajibu wake.
 
Nakupongeza kwa hilo,ila nikushauri kaza buti na hiyo biashara,then ukimaliza chuo na tayari biashara
yako inaenda vizuri,siku ya Graduationa wasapraiz wazazi wako kwa kuweka wazi kila ulilolifanya na jinsi
ulivyopokea pesa kwao wakati una mkopo,lakini waonyeshe kuwa hukuichezea ila uliizalisha na wataona
wewe ni bonge la GT,bila shaka itawafurahisha wazazi wako badala ya kusikitika na wewe sasa utakuwa na amani'
 
Hongera young mjasiliamali.But Hapa bodi ya mikopo inaonyesha haina utaratibu mzuri wa utoaji wa mikopo,kwa sababu mkopo wanapewa watu wenye uwezo wa kulipa huduma zote za chuo wakati wasio na uwezo wanadidimizwa.
 
hongera kama baba ako anauwezo sishangai kwani mara nyingi watoto wa masikini wakifika chuoni wanapenda sana kucomplicate life na kuficha kama si kusahau kabisa umaskini wa nyumbani kwao.

"a journey of thousand miles begins with asingle mile" wisdom quote.
 
nakupa hongera sana kudunduliza kiasi chote hicho wewe ni Mjasiliamali wa Kweli,

kulingana na kwamba jinsia yako ya kike, unaweza ukawa na vyanzo vingine vya fedha kutoka kwa mashemeji au wakwe zetu..........
lakini HONGERA SANA.
 
Hongera kwa kuweza kusave kiasi kikubwa cha pesa yako.
Rule num 1 of saving: Save, then use the rest for your needs
wengi wana use for their needs and save the remains, #Wrong !
 
Back
Top Bottom