Majibu haya ya Lissu akihojiwa DW, ni ushahidi mwingine wa uwezo wa Lissu kujibu hoja na kuwa mgombea ataefaa kumkabili Magufuli kwenye kampeni

Kipimo ni idadi ya kura na sio individual. Anyway, wenye chama chao walishamvuta na yupo anakula mema ya Nchi. Wewe endelea kusema eti “alikuwa mwizi”.
EL kuwa mwizi sio mjadala inajulikana kama hupendi hiyo ni premise yako. Kwa sababu alikuwa Waziri mkuu ataendelea kulipwa kwa mujibu wa sheria hadi afe ndio utaratibu huo.
 
Lissu ndiye Rais wetu Nov 2020; hutaki kimbilia Rwanda mapema.
 
Wananchi wa sasa ipi unayoizungumzia? Mbona hatujawaona kwenye by elections au hata uchaguzi wa serikali za mitaa?

Bahati mbaya ushindi uwe wa halali au haramu hamna cha kufanya zaidi ya kuja kulialia Jf!

Zuio la mikutano ya kisiasa tu iliyopo kisheria hamjafanya chochote mpaka leo,huo ushindi haramu mtafanya nini unafikiri.
Bonge moja la punch👊👊
 
Kwani unadhani hata Elibashir alitolewa madaraka mwaka mmoja, au miwili ya kuanza kunajisi demokrasia ndani ya nchi yake? Na yeye pia alikuwa na watu wanaomsifia kama ww, tena wakiwa na mapambio matamu kuliko ya kwako. Leo hii yuko wapi? Haiwi ndani ya siku moja boss.

Hao akina Sumaye na Lowassa wakati wakiwa madarakani, walikuwa wanaongea kwa jeuri ile mbaya, walipokuja upinzani wakawa wanatishiwa mpaka na mgambo wa kijiji. Membe wakati wa JK alikuwa anaongea kwa nyodo, saa hii naye meza imegeuka, anafanyia press kwenye TV za uchochoroni na kilio kingi. Huyu unayesema anaweza kufanya lolote na hakuna wa kufanya lolote, naye itafika muda atakuwa kama house girl toka Iringa.

Kumbe lakini unakubaliana na mimi kwamba 2020 huyo jamaa yenu haambulii kitu!

Sasa mnatupigia kelele za nini?

Si heri mkae tu kimya kusubiri huo muda wa kufikirika ufike badala ya kujitutumua na hizo porojo za ana hoja etc.
 
Huyo ndio kiboko ya jiwe...rudi mwamba watu wazidi kuweweseka...
Ni kweli ndiye kiboko ya JPM kwani hata kipind JPM anakamata makinikia pale Bandalini yeye pekee ndiye aliyepinga uamuzi huo wa JPM.
 
Kumbe lakini unakubaliana na mimi kwamba 2020 huyo jamaa yenu haambulii kitu!

Sasa mnatupigia kelele za nini?

Si heri mkae tu kimya kusubiri huo muda wa kufikirika ufike badala ya kujitutumua na hizo porojo za ana hoja etc.

Haambulii kitu na sisi wapiga kura wake tupo? Uzuri ni kuwa sisi tunajua kuna kushinda na kushindwa, na hatuna tatizo la kushindwa kihalali. Labda kama nyie hamuijui kanuni hiyo.

Tunachotaka ni ushindani ili wananchi wachague kilicho bora, kuliko watu wakae kimya walishwe mtazamo mmoja bila uchaguzi. Kwenye mfumo wa vyama vingi hakuna hiyo lugha eti mnashindwa hivyo msishiriki. Ushindi unapatikana kupitia box la kura lenye uhalali. Hilo mbona simple.
 
Kwa kuongezea tu,Mkapa pia alijenga: Jengo la Bunge,TV ya Taifa(wakati huo ikiitwa TVT na ambayo sasa ndio TBC 1),Uwanja mpya wa Taifa, n.k; Kikwte: UDOM,Babara za Mwendokasi,n.k; Wakoloni:Reli ya Kati,mabarabara ,n.k.
Kwa JK ongeza "Jakaya Kikwete Cardiac Institute". Sasa hivi kwenda nje kutibiwa moyo labda upende mwenyewe kwe da kutalii. Ah! Nilisahau pia Terminal 3 ya pale JNIA - one of the best in Africa!
 
Lissu Ni Heaven-sent, Chadema Ni mpango wa Mungu!

Jiwe halina uwezo wa kujenga hoja, haliwezi kuzungumza, linategemea mabavu na ubabe na ndiyo sababu likapiga marufuku kuchalenjiwa maana linajua haliwezi kujibu, linapanik!

Umefika muda wa Kichwa kikubwa kurudi Bongo, Kichwa chenye uwezo wa kujenga na kutetea hoja zake, hapa jiwe haliwezi kupiga marufuku kampeni, tusubirii tuone litatumia mbinu gani pale hoja zitakapokuwa zinashushwa na IQ kubwa Lissu, je litakimbia lijifiche? Je litamhujumu Lissu na CDM Kama alivyozoea? Tumejitayarisha
 
Kipimo ni idadi ya kura na sio individual. Anyway, wenye chama chao walishamvuta na yupo anakula mema ya Nchi. Wewe endelea kusema eti “alikuwa mwizi”.
Sasa unaweza kumsafisha EL wewe? EL aliisha uza miradi yake yote anakula pension tu sasa wewe si unafahamu pension ya waliokuwa mawaziri wakuu? hata ukilalia namna gani atapata tu.

BTW endelea kuota wakati sisi tupo kwenye matawi endelea kusota tu huko huko ardhini kwenye nguchiro.
 
Back
Top Bottom