Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,714
Mimi sizungumzii ukweli wa tukio lakini nazungumzia uwezekano wa tukio. Hapa nina maana kuwa uwezekano wa kurushiana risasi na adui kwa dakika 35 au hata zaidi na upande mmoja ukatoka bila jeraha upo (japo inawezekana haikuwa hivyo kwenye hili tukio). Unasema umeenda jeshini, sidhani kama ni kweli. Kwa kifupi ni kuwa siyo lazima muda wote wa dakika 35 risasi ziwe zinapigwa. Inawekana muda mrefu ikawa ni kuliana time na kufyatua risasi moja moja huku wahusika wakijihadhari kuwakaribia majambazi. Na ukumbuke polisi wanakuwa tayari na taarifa hivyo wanakuwa wame-take cover vizuri sana.
Kwanini unapinga kuwa ajapita jeshini.. ?
Sent from my iPhone using JamiiForums