Maji yamekatika Boko leo siku ya 3, dawasco kazi imewashinda?

amanimaendeleo

JF-Expert Member
Oct 29, 2015
251
75
Mbona Kasi ya ufanyaji kazi imepungua ghafla, naona dawasco munaturudisha Enzi ya nyuma tulianza na matumaini mapya.

Kuna nini kimetokea hadi tunakosa maji siku 3 ukizingatia maji ndio kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom