Maji ya viwanda kuendelea kumwagwa kwenye mto Morogoro

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Inasikitisha viwanda vya Morogoro kutiririsha maji yenye sumu mto Ngerengere mjini Morogoro.

Wamepigiwa kelele muda mrefu lakini wenye viwanda wameziba masikio.
 
Senks mkuu kwa kuliona hilo. Uchafuzi wa mazingira umekithiri kwa kiwango cha kutisha. Maji ya mto ngerengere yanaingia mto ruvu ambacho ndo chanzo cha maji yatumikayo dar. Ukiachilia viwanda ambavyo huingiza raw waste katika mto, maeneo ya kihonda kuna kiwanda cha ngozi hivyo eneo lote kilipo hicho kiwanda pana harufu kali ajabu. Kuna makazi ya watu wengi kuzunguka eneo hilo lakin hali ni mbaya hadi kichefu chefu! Pia kuna dampo na taka zake huchomwa moto kila siku hivyo ni moshi asubuhi hadi usiku hadi asubuhi.

Nemc wapo na si kwamba haya mambo nu mapya kwao.. shida ni rushwa.. nemc ni jichaka la wala rushwa.. ni jipu sasa litumbuliwe, lilishaiva kitambo
 
Back
Top Bottom