Maji ya moto yana madhara kiafya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji ya moto yana madhara kiafya?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kimbweka, Nov 23, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi maji ya moto kuyaoga kila siku yanaleta uzee.

  Naomba mnijuze wakuu maana nayoga sana.
   
 2. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nasubiri comment za wadau nami nijifunze,niliwahi kusikia maji ya moto sana huchosha ngozi pia kwa ladies si mazuri kujiswafi,otherwise maji ya vuguvugu ndiyo yanayoshauriwa.
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ngoja waingizane maana hii inaniletea zogo
  nsije zeeke mapema
  na nikijana mdogo
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  MMMH Kaaaaaaaaaaazi kweli kweliii, haya na mimi ngoja nisikie wadau wanasemaje
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Bora umeshtuka mapema, maana inawezekana pia yana side effect nyingi mbali na uzee
   
 6. T

  Tunga Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayana shida yoyote.......................................
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  we! yakioshewa nanii inavutika ka nyama ya utumbo!
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  heeeeeeeee hivi ni kweli maana naona kila mtu yupo very positive katika nililo uliza
  Nimeogopa kweli
   
 9. l

  ladymya Member

  #9
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  yakioshewa nini?
   
 10. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  yanafanya gobole liwe linapull the triger na kutoa x bullets kwa wingi kuliko y, hivo itakufanya uwe chance kubwa ya kupata watoto wa kike kuliko wa kiume.
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  maji ya moto matamu
  na dhani hizo ni facts to..
  si dhani kama yanashida yeyote...
  maji ya moto saa yeyote......lol
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hehehe makubwa haya
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hayana shida yoyote,hayo ni maneno ya watu tu mimi nimeyaoga kuanzia utoto wangu na mpaka leo nina miaka 34 lakini ukiniona kama vile nina miaka 25.
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  i like the sound of that lol (highlight red)
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  I think I m right or what do you think?
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  you were just about right..
  i was thinking more like 23-24.
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  The Following User Says Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

  Paka mweusi (Today) ​
   
 19. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,828
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  we we we wachana na hayo maji kabisa sio lazima uzeeke mwili kwa ujumla wake unaweza zeeka some parts of z body na ikawa mbaya zaidi. Oga maji moto pale tu inapobidi. Si ndiyo?
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
   
Loading...