Maji ya moto na wanawake!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji ya moto na wanawake!!

Discussion in 'JF Doctor' started by gwaks inc, Aug 13, 2011.

1. g

gwaks inc Member

#1
Aug 13, 2011
Joined: May 23, 2011
Messages: 29
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Ktk uchunguzi wangu mdogo nimegundua wanawake wakienda kuoga hupendelea kuwa na maji ya moto sana pembeni!wadau hii inatokana na nini??msaada kwenu

2. Consultant

Consultant JF-Expert Member

#2
Aug 13, 2011
Joined: Jun 15, 2008
Messages: 5,798
Likes Received: 6,308
Trophy Points: 280
Hapa unaweza usipate majibu sahihi. Kwanini usiwaulize hao ''wanawake wengi'' uliowafanyia uchunguzi?

3. Nduka

Nduka JF-Expert Member

#3
Aug 13, 2011
Joined: Dec 3, 2008
Messages: 8,482
Likes Received: 761
Trophy Points: 280
Hapa unapata picha uchunguzi huu ulifanywa uswahili, unaona dizaini mtu kabeba ndoo na kikopo anaelekea bafu la magunia au makuti urefu size ya picha za passport.

4. HAZOLE

HAZOLE JF-Expert Member

#4
Aug 13, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 1,332
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
hypothesis inasema wanaosha sehemu za siri...... but lets carry on with a research to verify if its true

5. i

iMind JF-Expert Member

#5
Aug 13, 2011
Joined: Mar 27, 2011
Messages: 1,907
Likes Received: 425
Trophy Points: 180
Former G-Friend wangu aliwahi kuniambia kuwa anatumia maji ya moto ku supress hamu ya mambo fulani. Hivyo kama haja do na anasikia hamu, anachukua maji ya mato na kumaliza haja. Ni staili fulani ya kujichua.

6. StaffordKibona

StaffordKibona JF-Expert Member

#6
Aug 13, 2011
Joined: Apr 21, 2008
Messages: 671
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
ana punguza hamu ambayo haikukamilishwa na partner alyekuwa naye usiku. Kama ni mkeo ongeza juhudi, hilo kopo la maji ya moto hutaliona tena

7. Iza

Iza JF-Expert Member

#7
Aug 13, 2011
Joined: Jan 8, 2009
Messages: 1,848
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
Kwa hiyo kama mkeo anatumia kila siku ni kwamba hatosheki? sidhani..naamini ni kwa ajili ya kujiswafi ndani..

8. arabianfalcon

arabianfalcon JF-Expert Member

#8
Aug 13, 2011
Joined: Oct 19, 2010
Messages: 2,292
Likes Received: 9
Trophy Points: 135
Jamani wanaume mbona mnajiju wenyewe hamsubiri wanawake au ndio KIU kimewashika mnatakakujua upesi upesi?

9. JS

JS JF-Expert Member

#9
Aug 13, 2011
Joined: Sep 29, 2009
Messages: 2,065
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
Huwa tunasikia baridi ndo maana tunatumia maji ya moto

10. HAZOLE

HAZOLE JF-Expert Member

#10
Aug 13, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 1,332
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
haya kashafika ulingoni mama ushauri...... Mwaga mboga mama tujue.

11. HAZOLE

HAZOLE JF-Expert Member

#11
Aug 13, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 1,332
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
baridi mwili mzima au kunako?

12. mopaozi

mopaozi JF-Expert Member

#12
Aug 13, 2011
Joined: Nov 17, 2010
Messages: 3,290
Likes Received: 105
Trophy Points: 160
Akiosha huko na majiya moto ndo hupewi k kabisaa nyege zote zinakuwa zimeisha ukiona hivyo muwahi na maji yamwage hata ulambe saa zima hazirudi ngoooo

13. KakaJambazi

KakaJambazi JF-Expert Member

#13
Aug 13, 2011
Joined: Jun 5, 2009
Messages: 15,030
Likes Received: 3,231
Trophy Points: 280
Chezea gspot wewe.

14. wende

wende JF-Expert Member

#14
Aug 13, 2011
Joined: Sep 6, 2009
Messages: 715
Likes Received: 9
Trophy Points: 35
Sure,nami nimeshuhudia ata my House girl is doing the same,,,kulikoni??

15. hashycool

hashycool JF-Expert Member

#15
Aug 13, 2011
Joined: Oct 2, 2010
Messages: 5,899
Likes Received: 442
Trophy Points: 180
ah! jamaa ushampiga shoka beki tatu wako weye.....duh!

16. g

gwaks inc Member

#16
Aug 13, 2011
Joined: May 23, 2011
Messages: 29
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

hawatoi majibu ya kuridhisha

17. g

gwaks inc Member

#17
Aug 13, 2011
Joined: May 23, 2011
Messages: 29
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

ngoja tuendelee ku do mo research!

18. g

gwaks inc Member

#18
Aug 13, 2011
Joined: May 23, 2011
Messages: 29
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

kidogo naanza kupata mwanga!

19. Uda

Uda JF-Expert Member

#19
Aug 13, 2011
Joined: Nov 27, 2010
Messages: 730
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Mimi nimeona baadhi ya wanaume wanaenda na hivi vikopo vya maji ya moto,sasa sijui mnavitumiaje?

20. g

gwaks inc Member

#20
Aug 13, 2011
Joined: May 23, 2011
Messages: 29
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

barid ktk sehemu nyeti pekee?

Loading...