Kuna siri gani kwenye maji ya kuoshea maiti?

Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,234
3,172
Ni mara nyingi nmekuwa nikisikia haya maji kutumika sana kwnye shughuli za kishirikina. Mfano kutumika kwenye shughuli za mama ntilie wakichanganya na msosi nasikia unakuwa mtamu sana ndo pale unakuta mazingira ya upishi na jinsi chakula kinavyoandaliwa unakuta hayaridhishi kabisa ila unakuta watu wanafurika muda wote na si ajabu unakuta mtu anafunga safari kutoka mbagara anaenda kula lunch ubungo!!! Ukimuuliza atakwambia msosi wa mama flani ni mtamu sana. Sasa nasikia ule msosi wakati wa upishi ukichanganywa na maji ya kuoshea maiti unakuwa mtamu sana na ndio silaha kubwa ya biashara wanayoitumia mama ntilie walio wengi.

Kuna mchawi mmoja niliwahi kumsikia mahali kwamba wakati walipokuwa wanaenda kumchukua mtu kwenye nyumba yake kwanza lazma waoge maji ya maiti ndo safari yao inaanza halafu wakifika kwenye nyumba wanayamwaga hayo maji kwenye pande nne za paa la bati alafu wakifanikiwa kuingia wanampaka alokusudiwa kuchukuliwa hayo maji kuanzia miguuni hadi utosini huyo mtu analala anakuwa kama anaota then wanambeba.

Duniani kuna mengi haya maji ya kuoshea maiti katika ulimwengu wa roho yana kazi kubwa sana !

Cc @ Mshana jr
 
Acha utani na mait asee, wakat tupo shule tulienda kweny msiba wa ndugu wa rafk yetu, usiku pale tulipokua tumelala wasilete jeneza wakaweka hapo pemben, ile nashtuka naona mzigo huo hapo pemben nilitoka jasho mpk la ndevu, nikamshtua fasta mshkaj , yan m ndo nimemuamsha na nimesimama mlangoni ila yeye ndo wa kwanza kutoka, aliruka kitandan miguu yote ilitua kwa mpigo mlangoni. Tulikaa na wazee nje tukiota moto mpk asubuh wanatushangaa ila si tunajua ya moyoni.
 
Uliona nini mkuu?
 
Ulikutana na nn mkuu
 
zamani tulikuwa tunafichwa bahati mbaya ukutane nao wanaenda kuzika jamani siku hiyo kulala mtihani
 
Mama ntilie wengine nasikia lazima wachanganye maji yao ya kupikia na mkojo wake au wa watoto wake!
 
Acheni mambo hayo jamani.mjue nimetoka kilometa kazaa kupiga msosi,kwa mama n'tilie mmoja fundi sana wa kupika.sasa mkileta habari hizo.daaah
 
mi ni nambari moja napendaga sana kula kwa mama ntilie ila unanitisha mkuu
Sikutishi mkuu we ukitaka kuamini angalia au fatilia kwa mama ntilie ambae mazingira yake sio rafiki hata kdgo lakn watu wanajaa yaan watu wanajaa ukiangalia mazingira ni ovyo lakn utasikia tu wanakisifia tu chakula
 
Mwanza Sekouture wanauza mlangoni kwenye chupa,nasikia ya mtoto mchanga ndo dili,ngoja wajuzi mshana and co waje watakusaidia
 
Back
Top Bottom