Maji ya Jaydee yanauzwa wapi?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,142
15,130
jide-4.jpg



Tangu yazinduliwe haya maji ya Jaydee sijawahi yatia machoni, hivi yanatengenezwa bado ama aliona biashara hailipi akaacha? Maana naskia biashara ya maji ni kati ya biashara zinazolipa sana ndio maana kila mkoa sasahivi kuna kiwanda cha maji...sasa how comes kwa mtu kama Jide ambaye tayari Brand name yake tayari ilikua imemuweka kwenye competitive advantage aishindwe hii biashara? Au anauza nje ya nchi tu..Kuna anaefaham kuhusu haya maji na ambaye alishawahi kuyanywa atuambie quality yake
 
UKISEMA MAJI YAKE unakosea maaana tafisir yake
Ndio maana nimeweka picha wakuu ili watu wasipeleke akili nje ya mada...maana humu jf kuna watu always wanapeleka akili ndiko siko...hii sio great thinking wajameni daah
 
walimuwekea fitina yasitoke, kwahiyo hayajawahi uzwa sehem yoyote ile.
 
Bujibuji katoa jibu ambalo lilishawahi kugusiwa kwenye lile bifu la Jide na redio yenu ya mikocheni
 
Last edited by a moderator:
ni kwamba hakupewa kibali, alipigwa fitna mpaka akaacha angekuwa muhindi wangempa kibali.
 
kuna company ilitaka kutumia jina la jide kwenye maji ya kunywa TFDA wakaweka zengwe ndo maana maji hayapo sokoni!
 
Back
Top Bottom