maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,144
Tangu yazinduliwe haya maji ya Jaydee sijawahi yatia machoni, hivi yanatengenezwa bado ama aliona biashara hailipi akaacha? Maana naskia biashara ya maji ni kati ya biashara zinazolipa sana ndio maana kila mkoa sasahivi kuna kiwanda cha maji...sasa how comes kwa mtu kama Jide ambaye tayari Brand name yake tayari ilikua imemuweka kwenye competitive advantage aishindwe hii biashara? Au anauza nje ya nchi tu..Kuna anaefaham kuhusu haya maji na ambaye alishawahi kuyanywa atuambie quality yake