Maji ya Chupa-Uhai, Kilimanjaro etc

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Natafakari sana mchakato wa maji ya chupa pamoja na ubora wake kwenye mwili baada ya kughoshiwa, sina hakika kama yana tija kwenye afya ya mwili na naona wanywaji wakiongezeka sana

wataalamu mnasemaje kwa hili?
 
Nilikua natafuta kufanya tafiti juu ya hii kitu mda mrefu. Nashukuru umelileta hapa mdau.
My concern kubwa kwenye tafiti niliyotaka kuifanya ni kuhusiana na zile chemicals zinazoongezewa hasa hasa potassium, chloride, sodium, .......... na nyingine wadau watanisaidia kuweka hapa. Natamani aje mkemia hapa atueleze kama kuna benefit yoyote kwenye mwili wa binadamu au turudi kwenye traditional way of drinking water where we used to take tap water and boil it and drink.
Msaaaadaaaaaaaaaaaaaaa.............
Please. mi ni mdau wa hili suala. MziziMkavu upo?
 
Last edited by a moderator:
Natafakari sana mchakato wa maji ya chupa pamoja na ubora wake kwenye mwili baada ya kughoshiwa, sina hakika kama yana tija kwenye afya ya mwili na naona wanywaji wakiongezeka sana

wataalamu mnasemaje kwa hili?

Ukiwa Uswahilini Wewe Twanga tu Uhai Yako ila Ukijua tu Upo na Wastaarabu Ndugu Yangu Kunywa Kilimanjaro i.e. UHAI Yanashusha CV Yako na KILIMANJARO Yanang'arisha CV Yako.
 
asante sana, huenda tunahitaji scientific research na kama uko gado nitakuunga mkono japo mm ni social scientists
Nilikua natafuta kufanya tafiti juu ya hii kitu mda mrefu. Nashukuru umelileta hapa mdau.
My concern kubwa kwenye tafiti niliyotaka kuifanya ni kuhusiana na zile chemicals zinazoongezewa hasa hasa potassium, chloride, sodium, .......... na nyingine wadau watanisaidia kuweka hapa. Natamani aje mkemia hapa atueleze kama kuna benefit yoyote kwenye mwili wa binadamu au turudi kwenye traditional way of drinking water where we used to take tap water and boil it and drink.
Msaaaadaaaaaaaaaaaaaaa.............
Please. mi ni mdau wa hili suala. MziziMkavu upo?
 
ni kweli ila hapa umegusa social perspectives, tuchungulie na afya kidogo/science
Ukiwa Uswahilini Wewe Twanga tu Uhai Yako ila Ukijua tu Upo na Wastaarabu Ndugu Yangu Kunywa Kilimanjaro i.e. UHAI Yanashusha CV Yako na KILIMANJARO Yanang'arisha CV Yako.
 
Maji salama ni yale yanayotoka moja kwa moja kwenye chanzo (kisima, mto, chemichemi nk). Kama unahitaji maji ya kunywa na ulipo yapo maji ya chupa tu bila kujali ni brand gani basi we kunywa tu ila kama upo mahali ambapo maji ya bomba au yanayotoka moja kwa moja kwenye chanzo basi usinywe ya chupa.

Vyovyote itakavyokuwa usiache kunywa maji.
 
Maji salama ni yale yanayotoka moja kwa moja kwenye chanzo (kisima, mto, chemichemi nk). Kama unahitaji maji ya kunywa na ulipo yapo maji ya chupa tu bila kujali ni brand gani basi we kunywa tu ila kama upo mahali ambapo maji ya bomba au yanayotoka moja kwa moja kwenye chanzo basi usinywe ya chupa.

Vyovyote itakavyokuwa usiache kunywa maji.

sasa kama upo karibu na bomba ukanywa si utapata taifod!
 
Peofesa Mbwete alifanya utafiti na kuja na conclusion kwamba maji ya chupa sio salama kwa afya. Nakumbuka alipingwa sana hadi na Mkapa. Sidhani kama hadi leo kuna mtu amefanya utafiti na kuja na matokeo tofauti na ule utafiti wake.
 
apa unagusa inerest za watu utagundua kua wale wasomi na wachangiaji wakubwa wanairuka hii mada sababu kuna very big secret iko kwenye haya maji. na mengine mikoani wanafake maji wakitumia hizo hizo chupa unashangaa unakunywa uhai au Kilimanjaro kama vile maji la kisima. in short kwakweli tupewe majibu na wadau wenye uelewa na pia kama kuna madhara tujue.
 
Natafakari sana mchakato wa maji ya chupa pamoja na ubora wake kwenye mwili baada ya kughoshiwa, sina hakika kama yana tija kwenye afya ya mwili na naona wanywaji wakiongezeka sanawataalamu mnasemaje kwa hili?
Nilikua natafuta kufanya tafiti juu ya hii kitu mda mrefu. Nashukuru umelileta hapa mdau.My concern kubwa kwenye tafiti niliyotaka kuifanya ni kuhusiana na zile chemicals zinazoongezewa hasa hasa potassium, chloride, sodium, .......... na nyingine wadau watanisaidia kuweka hapa. Natamani aje mkemia hapa atueleze kama kuna benefit yoyote kwenye mwili wa binadamu au turudi kwenye traditional way of drinking water where we used to take tap water and boil it and drink.Msaaaadaaaaaaaaaaaaaaa.............Please. mi ni mdau wa hili suala. MziziMkavu upo?
Maji ya chupa sio Mazuri kutumia kwa Kiafya unaweza kupatwa na maradhi usiyoyategemea mwilini mwako
asante sana, huenda tunahitaji scientific research na kama uko gado nitakuunga mkono japo mm ni social scientists
Ushahidi kuwa Maji ya chupa sio mazuri kutumia kwa kunywa huu hapa chini soma:

Plastic bottles


017457.jpg


What do the claims about plastics involve?


A group of hoax emails have been doing the rounds for a few years warning about the so-called dangers of plastic bottles, containers and films. The emails generally warn people about one or more of the following:
  • freezing water in plastic bottles
  • reusing plastic water bottles
  • leaving plastic bottles in cars
  • microwaving food in plastic containers or covered with plastic films

However, there is no convincing scientific evidence to back up these claims or to suggest that any of these products could cause cancer.
Where do the claims come from?

A health scare began in 2002 when a scientist voiced concerns about the safety of freezing water in plastic bottles on a Japanese television programme. This same programme also warned against microwaving food in plastic

containers. The scientist’s opinions subsequently appeared widely on the Internet.
The emails claim that reusing, heating or freezing water bottles releases cancer-causing chemicals called dioxins. Some also mention a

chemical called DEHA, a chemical found in plastics that the emails claim could potentially cause cancer.
Some of these emails credit the warnings about plastics to Johns Hopkins University in America, but the university denies

any involvement
. On their website, they say:
“The Internet is flooded with messages warning against freezing water in plastic bottles or cooking with plastics in the microwave oven. These messages, frequently titled “Johns Hopkins

Cancer News” or “Johns Hopkins Cancer Update,” are falsely attributed to Johns Hopkins and we do not endorse their content.”
Other versions of the emails say that the claims are endorsed by the Walter Reed Army Medical Center. Again, this is not true.Is there any truth in the claims?

There is no convincing scientific evidence to substantiate these health warnings against plastics. In the UK, there is legislation in place to ensure that all materials that come into contact with food, such as containers for pre-packed food, are thoroughly tested before they can be used.Can I freeze or reuse plastic bottles?

Professor Rolf Halden of Johns Hopkins' Bloomberg School of Public Health has said that freezing actually works against the release of chemicals. He also says that it is not even clear if plastics contain dioxins, the group of

chemicals specifically mentioned in the hoax email. Halden stressed that people should not be afraid of drinking water because of “miniscule amounts of chemical contaminants present in [their] water supply."
There is nothing to

suggest that storing water in plastic bottles is unsafe or that a metal bottle would be any better. The types of plastic bottles in which drinking water is typically sold are safe to re-use as long as their condition hasn’t deteriorated and

you can clean them. They should be cleaned with hot, soapy water and thoroughly dried every time you refill them, to prevent bacteria from growing.

Can I microwave food in plastic containers or covered in plastic film?


There is no scientific evidence that microwaving food in plastic containers or wrapped in clingfilm can affect the risk of cancer.According to the Food Standards Agency you can use cling film in the microwave, but make sure the

cling film doesn’t touch the food. Whenever you heat something, including plastics, you increase the likelihood of pulling chemicals out. This doesn't include the specific chemicals mentioned in the hoax emails, and there is no

evidence that this process could affect the risk of cancer. Even so, it is a good idea to minimise any potential risks by using plastics and clingfilm correctly.
You also shouldn’t use cling film if it could actually melt into the food, like in

the oven or on pots and pans on the hob.
Not every type of cling film is suitable for using with all foods. For example, only let cling film touch high-fat foods when the packaging says it is suitable for this. High-fat foods include some

types of cheese, raw meat with a layer of fat, pies, and cakes with butter icing or chocolate coatings. You should check the description on the packaging to see what foods the cling film can be used with.
Likewise, it is best to only

use plastics that are specifically meant for cooking. As Johns Hopkins University recommends, “In general, it is best to follow the manufacturer’s recommendations when using any plastic products. When cooking with plastics, only use those plastic containers, wraps, bags and utensils for their intended purposes.


”
Do plastics release dioxins and are they harmful?

Dioxins are a group of chemicals that are formed unintentionally by industrial processes such as burning fuels and incinerating waste. Only one dioxin, known as TCDD, has been shown to cause cancer in people.Burning some

types of plastic, such as PVC, at very high temperatures can release dioxins into the atmosphere. But there is no evidence to support the idea that dioxins are produced when plastics are heated in a microwave oven, as opposed to actually burned in an incinerator. And it is not even clear if plastics used in water bottles or films contain dioxins in the first place.

Do plastics release DEHA, and is it harmful?


DEHA is a chemical found in some plastics. The email claims about DEHA are based on the work of an American student who supposedly showed this chemical can migrate from plastic wraps into food at high

temperatures.
However, this work was never published, and there is no convincing evidence that DEHA is actually present in plastic bottles or plastic wraps. Even if it was, in the late 1990s, the US Environmental Protection

Agency (EPA) removed DEHA from its list of toxic chemicals. It said that DEHA "cannot reasonably be anticipated to cause cancer" as well as a number of other health problems.source. Plastic bottles : Cancer Research UK
 
Maji ya chupa sio salama.kwanza tujiulize.maji gani yasiyooza? Kuna chemical ndani yake mbaya sana kwa afya zetu.turudi kwenye kuchemsha maji ya bomba au kisima.
 
apa unagusa inerest za watu utagundua kua wale wasomi na wachangiaji wakubwa wanairuka hii mada sababu kuna very big secret iko kwenye haya maji. na mengine mikoani wanafake maji wakitumia hizo hizo chupa unashangaa unakunywa uhai au Kilimanjaro kama vile maji la kisima. in short kwakweli tupewe majibu na wadau wenye uelewa na pia kama kuna madhara tujue.

Aise! kwahiyo watu kama mimi tunaochangia mada kama hizi kwa majina yetu halisi haitakula kwetu?
 
994593_231609370338541_113764721_n.jpg


Do Not Re-Use Minerals Water Bottles...

How to avoid:

Check on the bottom of the bottle there is a triangle sign and
there will be a number on it.

If the number is higher than or equal to 5; then this bottle is safe
to use. Whatever number under 5, will release the chemical.
For most bottle water, the number is 1. Did you know chemical released
by plastic water bottles can cause cancer

(It is not the water that affecting you but the chemical releasing from
the bottle)Pass this to all your friends and also make them aware of it


 
Kilimanjaro ndio mpango mzima. Mengine nakunywa nikiwa nimefulia au nikiyakosa Kilimanjaro Pure Drinking Water.
 
apa unagusa inerest za watu utagundua kua wale wasomi na wachangiaji wakubwa wanairuka hii mada sababu kuna very big secret iko kwenye haya maji. na mengine mikoani wanafake maji wakitumia hizo hizo chupa unashangaa unakunywa uhai au Kilimanjaro kama vile maji la kisima. in short kwakweli tupewe majibu na wadau wenye uelewa na pia kama kuna madhara tujue.

wale jamaa wanaotembeza maji barabarani me siwaamini kabisa!
 
Dah, asante sana mkuu mzizimkavu hauchimbwi dawa
maji ya chupa sio mazuri kutumia kwa kiafya unaweza kupatwa na maradhi usiyoyategemea mwilini mwako ushahidi kuwa maji ya chupa sio mazuri kutumia kwa kunywa huu hapa chini soma:

plastic bottles


017457.jpg


what do the claims about plastics involve?


a group of hoax emails have been doing the rounds for a few years warning about the so-called dangers of plastic bottles, containers and films. The emails generally warn people about one or more of the following:
  • freezing water in plastic bottles
  • reusing plastic water bottles
  • leaving plastic bottles in cars
  • microwaving food in plastic containers or covered with plastic films

however, there is no convincing scientific evidence to back up these claims or to suggest that any of these products could cause cancer.
where do the claims come from?

a health scare began in 2002 when a scientist voiced concerns about the safety of freezing water in plastic bottles on a japanese television programme. This same programme also warned against microwaving food in plastic

containers. The scientist's opinions subsequently appeared widely on the internet.
the emails claim that reusing, heating or freezing water bottles releases cancer-causing chemicals called dioxins. Some also mention a

chemical called deha, a chemical found in plastics that the emails claim could potentially cause cancer.
some of these emails credit the warnings about plastics to johns hopkins university in america, but the university denies

any involvement
. On their website, they say:
"the internet is flooded with messages warning against freezing water in plastic bottles or cooking with plastics in the microwave oven. These messages, frequently titled "johns hopkins

cancer news" or "johns hopkins cancer update," are falsely attributed to johns hopkins and we do not endorse their content."
other versions of the emails say that the claims are endorsed by the walter reed army medical center. Again, this is not true.is there any truth in the claims?

there is no convincing scientific evidence to substantiate these health warnings against plastics. In the uk, there is legislation in place to ensure that all materials that come into contact with food, such as containers for pre-packed food, are thoroughly tested before they can be used.can i freeze or reuse plastic bottles?

professor rolf halden of johns hopkins' bloomberg school of public health has said that freezing actually works against the release of chemicals. He also says that it is not even clear if plastics contain dioxins, the group of

chemicals specifically mentioned in the hoax email. Halden stressed that people should not be afraid of drinking water because of "miniscule amounts of chemical contaminants present in [their] water supply."
there is nothing to

suggest that storing water in plastic bottles is unsafe or that a metal bottle would be any better. The types of plastic bottles in which drinking water is typically sold are safe to re-use as long as their condition hasn't deteriorated and

you can clean them. They should be cleaned with hot, soapy water and thoroughly dried every time you refill them, to prevent bacteria from growing.

can i microwave food in plastic containers or covered in plastic film?


there is no scientific evidence that microwaving food in plastic containers or wrapped in clingfilm can affect the risk of cancer.according to the food standards agency you can use cling film in the microwave, but make sure the

cling film doesn't touch the food. Whenever you heat something, including plastics, you increase the likelihood of pulling chemicals out. This doesn't include the specific chemicals mentioned in the hoax emails, and there is no

evidence that this process could affect the risk of cancer. Even so, it is a good idea to minimise any potential risks by using plastics and clingfilm correctly.
you also shouldn't use cling film if it could actually melt into the food, like in

the oven or on pots and pans on the hob.
not every type of cling film is suitable for using with all foods. For example, only let cling film touch high-fat foods when the packaging says it is suitable for this. High-fat foods include some

types of cheese, raw meat with a layer of fat, pies, and cakes with butter icing or chocolate coatings. You should check the description on the packaging to see what foods the cling film can be used with.
likewise, it is best to only

use plastics that are specifically meant for cooking. As johns hopkins university recommends, "in general, it is best to follow the manufacturer's recommendations when using any plastic products. When cooking with plastics, only use those plastic containers, wraps, bags and utensils for their intended purposes.


"
do plastics release dioxins and are they harmful?

dioxins are a group of chemicals that are formed unintentionally by industrial processes such as burning fuels and incinerating waste. Only one dioxin, known as tcdd, has been shown to cause cancer in people.burning some

types of plastic, such as pvc, at very high temperatures can release dioxins into the atmosphere. But there is no evidence to support the idea that dioxins are produced when plastics are heated in a microwave oven, as opposed to actually burned in an incinerator. And it is not even clear if plastics used in water bottles or films contain dioxins in the first place.

do plastics release deha, and is it harmful?


deha is a chemical found in some plastics. The email claims about deha are based on the work of an american student who supposedly showed this chemical can migrate from plastic wraps into food at high

temperatures.
however, this work was never published, and there is no convincing evidence that deha is actually present in plastic bottles or plastic wraps. Even if it was, in the late 1990s, the us environmental protection

agency (epa) removed deha from its list of toxic chemicals. it said that deha "cannot reasonably be anticipated to cause cancer" as well as a number of other health problems.source. plastic bottles : Cancer research uk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom