jamiiyamtimkavu
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 274
- 192
Wana JF heshima kwenu.
Ninatambua uwepo wa wanataaluma mbali mbali katika jukwaa hili. Binafsi ningependa kuchangia kuhusu utumiaji wa maji taka yanayozalishwa majumbani mwetu. Hii ni kutokana na uwezekan wa utumikaji wa maji haya kwa ajili ya shughuli za ujasiriamali, hususani kilimo cha uhakika na rafiki kwa mazingira.Kabla sijafafanua uelewa wangu naomba niruhusu wadau wachangie walivyoelewa na wasivoelewa kuhusu mada yangu.