SamTu160
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 624
- 568
Wakuu habari za Sunday.
Nikiwa najikuna mwili mzima huku nikiwaza maji safi wanayotumia Kinondoni, Makumbusho, Mbezi Beach, Masaki Upanga (Posta).
Ni wiki moja sasa tangu maji ya Dawasco yapotee Tabata. Unajua umasikini mwingine tunatafutiana Sukari anasa, maji anasa nauli za mabasi ya mwendo kasi anasa.
Ukitaka kujua watanzania sisi ni mazuzu. Tangu tupate Uhuru ni miaka mingapi imepita tumeshindwa tu hata kuhakikisha raia wanapata maji safi na salama. Hivi ni nini kazi ya sensa? Kama tunatumia billions of money na tunashindwa ku forecast demands za wananchi ndani ya miaka 10 ijayo huu utakuwa uzuzu wa kiwango cha juu.
Ngoja ninywe Kitwanga tu, huyu ndio kipunguza stress.
Kitwanga was absolutely Right.
NB. Ukuje polepole la sivyo utatwanga.