VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,160
Kilimo cha umwagiliaji ndio mkombozi na fursa ya uhakika.
Unalima wakati muafaka, zao muafaka wakati muafaka. Tungeweza kushawishi viwanda vya mkakati kwa uhakika wa malighafi, pia miundombinu reli na barabara zingetuka kikamilifu.
Kama taifa tuna ardhi ya kutosha na rasilimali watu.
Sina hakika tume ya umwagiliaji wanawezeshwa kiasi gani. Wale waimba mapambio na vigelegele hebu pigieni debe hili lina tija na multiplier effect kubwa kuliko midege mikubwa.
Focus ya ATCL ingebakia ndege ndogo na kati na route masafa ya mbali ubia na mashirika makubwa mengi iwezekavyo.