Ujenzi wa uwanja wa ndege chato una tija gani kwa wananchi wa chato wakati hata traffic light walizowekewa hawajui matumizi yake kila mtu anajivukia barabara anavyojisikiaSalama,
Ni mambo yapi ambayo serikali inafanya hayana tija kwa wananchi? Bunge letu liko wapi? katika hayo mambo ambayo unaamini serikali inafanya hayana tija kwa wananchi wake?
shukrani!