Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awa ndo mapedeshee waliobaki
Wa dunia ya pili si hii tunayoishi Mimi na weweLe Professor
100% Correctly.Wa dunia ya pili si hii tunayoishi Mimi na wewe
Usichokijua kikalie kimya au uliza!..Huyo proffesor sio wa kipindi hiki na ni mtata balaa, usiombe upite na demu wako mzuri mbele yake utajua watu wasio na mikono ya birika wanafananaje!..Kwa mwendo huu lazima atamani ata baba j afie pale kwasababu mambo yake safi kipindi hiki
Sasa hivi wapo wengne walioibuliwa na kupanda kwa bei ya korosho.Awa ndo mapedeshee waliobaki