Maji maji ukeni

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,933
1,399
Tatizo hili la kuwa na majimaji ukeni husababishwa na nini? Utakuta upo na mkeo mnafanya tendo la ndoa halafu katika "in and out" unasikia sauti "chubwi chubwi" kutoka ukeni. Kwa yeyote anayejua dawa ya hili tatizo/hali hii atusaidie? Nawasilisha!
 
Ungejua ninavyoipenda hiyo!!!!!! halafu eti wewe unaitafutia dawa! Acha ndugu hiyo inaitwa 'FYOKO FYOKO'
 
Ina maana zamani ulikuwa humexcite akaenjoy tendo...jipe hongera kwani unamfikisha sasa!

Asante Dr. Riwa manake nilikuwa na wasiwasi sana nilihisi labda ni tatizo kubwa hivyo nimuwahishe waifu hospitalini.
 
Kumbe ikilia "Fyoko fyoko" ndo manake namfikisha eenh, sikujua hili! Asanteni sana na mbarikiwe.
 
Kumbe ikilia "Fyoko fyoko" ndo manake namfikisha eenh, sikujua hili! Asanteni sana na mbarikiwe.

FYOKOFYOKO!aka piga makofi ndo mambo yote!ndo raha yenyewe!hakikisha kila siku anakuwa hivyo!
 
Mbona kila siku hizi zinajadiliwa humu hadi picha zimo kwa hiyo jamaa huwa anaanza tu bila maandalizi angekuwa huwa anafanya maandalizi asingeuliza haya maji maji yanatoka wapi kama ni mgeni jaribu kupitia thread hata zilizopita unaweza pata majibu kabla ya kupost. Effect ya member Kutoka Facebook
 
Thanx kaka but i have never been in FB lol............
I am just askin because i have never seen such thing happening to my lovely wife since i married her, that why am askin!
By the way kuuliza si ujinga nilitaka kujua na ndo maana nikauliza kwa ustaarabu kabisa.

"It is not compulsory for you to reply in every thread"
 
Mbona zamani hakuwa hivyo? Ilikuwa tu kimya kimya sasa siku hizi fyoko fyoko, mmmh!

mkuu pole sana,hiyo ki2 inabore sana,,japo wengine wanapenda,kwa upande wenu inawezekana mkeo ana2mia dawa ya kuzuia mimba..,sindano au vipandikizi,, jibu
 
muulize alishawahi 2mia?

family planning pills sio sababu! Ile kuwa amesisimka sana ndio inaleta hyo fyoko fyoko! Akiona hafanyi fyoko fyoko then she is not enjoyn, she is dry.,.mjitahdi kuwasisimua wake zenu jamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom