Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
Leo kwenye taarifa ya habari ya saa12.00 jioni ITV wameonyesha walimaji wa mbogamboga wakitumia maji yasiyo salama katika bustani zao. Jambo hilo linahatarisha afya za walaji wa mboga hizo. Lakini si tunao wasimamizi wa masuala ya afya kwenye kata wilaya nk. Pamoja na TFDA ambao huonekana wakifunga maduka ya dawa kwa ukali sana! Kama sio hawa, ni nani atakuja kutunusuru kwenye hatari hii?