Majeshi ya Nchi za Afrika

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
183
Tuangalie uwezo na nguvu wa majeshi ya nchi za Kiafrika.
Maana kuna nchi tangu nazaliwa mpaka leo wwanapigana vita tuu, labda naweza kupata majibu.
zolnierz450wj0.jpg
 
Algeria
bmp10013.jpg

shilka11.jpg

sansti12.jpg

9abril20070073aa8.jpg

Angola
There are three divisions, the Army, Navy (Marinha de Guerra, MdG), and Air and Air Defense Forces (FAPA). Total manpower is about 110,000. The army is by far the largest of the services with about 100,000 men and women. The Navy numbers about 3,000 and operates several small patrol craft and barges. Air force personnel total about 7,000; its equipment includes Russian-manufactured fighters and transport planes
file0610hi9.jpg

file0609cy7.jpg

cpiadefile0609kf0.jpg

cpiadefile0608pg6.jpg

Ethiopia
The Ethiopian National Defense Force (ENDF) is one of the largest military forces in Africa along with Egypt and Morocco, 29th largest in the world. Force sizes recently varied considerably in light of the end of the war with Eritrea in 2000. In January 2007, during the war in Somalia, Ethiopian forces were said to be about 200,000 troops. This is down from the 252,000 estimated troops in 2002[2], which was roughly the same number maintained during the Derg regime that fell to the rebel forces in 1991
ethiopiansoldiersac3.jpg

ethiopiantroopsov4.jpg

ethiopiantroopsatattentap1.jpg

ethiopianmig233webqu3.jpg

ethiopiansu27andpilotzg6.jpg
 
Wakuu Tanzanian Army vipi? Ule uwezo tuliokua nao kukabiliana na Uganda bado upo? Maanke Idd amin alikiona cha mtema kuni
 
No country in Sub-Sahara region can mess up with Angolans military hardware.
Ndiyo maana niliposikia JK anasema kupeleka jeshi Zimbabwe niliona ni ndoto za alinacha kwa kuwa najua hata yeye anazo habari kamili juu ya hawa mabwana.

Tanzania ya sasa siyo ile ya Nyerere! Uganda ya sasa siyo ile ya Amin! Hata kale ka Rwanda tulikokuwa tunakadharau siyo Rwanda ilivyo sasa.

Tuko nyuma,morale ya wanajeshi wetu imeshuka mno.Kuna wakati huwa najiuliza hivi tukivamiwa tutaweza kweli kuilinda nchi yetu? Ile patriotism ya kipindi cha Nyerere is almost gone!.Kwa ukubwa hali hii imechangiwa sana na uongozi mbovu na kuongezeka kwa ufisadi na hivyo kushusha kabisa mapenzi kwa nchi yetu hata ndani ya jeshi letu wenyewe.

Tunayo kazi kubwa mbele yetu kuirudisha ile patriotism ya enzi za nyerere japo kwa robo moja.Tunahitaji kiongozi mzalendo mwenye maono,machungu,na uwezo wa kuongoza Taifa letu katika kipindi cha hatari na neema.

Tunahitaji kujenga uchumi wetu,kuimarisha majeshi yetu,kuyapa zana za kisasa ili kuwa tayari kukabiliana na mtu yeyote yule atakaye thubutu kutushambulia.

Wembe.
 
Ni kweli kabisa mkuu.sijui bajeti yetu kwa Jeshi ni asilimia ngapi ya bajeti yetu nzima? Na tujaribu kulinganisha bajeti zetu za kijeshi na za nchi jirani hasa Kenya,ganda,Rwanda na Zambia.

Pia najua kiuchumi tunatofautiana lakini inabidi ifikie hatua sasa hata kama tunaburuzwa kiuchumi tuangalie pia uwezo wa kujilinda sisi na uhuru wetu.Kuna haja ya kuimarisha jeshi letu.

Si ajabu kwa muda mrefu tunaangalia jinsi kujilinda tu madarakani tusipinduliwe na watanzania wenzetu bila kufikiria kujilinda sisi na mipaka yetu pamoja na raslimali tulizo nazo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom