Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
No country in Sub-Sahara region can mess up with Angolans military hardware.
Ndiyo maana niliposikia JK anasema kupeleka jeshi Zimbabwe niliona ni ndoto za alinacha kwa kuwa najua hata yeye anazo habari kamili juu ya hawa mabwana.
Tanzania ya sasa siyo ile ya Nyerere! Uganda ya sasa siyo ile ya Amin! Hata kale ka Rwanda tulikokuwa tunakadharau siyo Rwanda ilivyo sasa.
Tuko nyuma,morale ya wanajeshi wetu imeshuka mno.Kuna wakati huwa najiuliza hivi tukivamiwa tutaweza kweli kuilinda nchi yetu? Ile patriotism ya kipindi cha Nyerere is almost gone!.Kwa ukubwa hali hii imechangiwa sana na uongozi mbovu na kuongezeka kwa ufisadi na hivyo kushusha kabisa mapenzi kwa nchi yetu hata ndani ya jeshi letu wenyewe.
Tunayo kazi kubwa mbele yetu kuirudisha ile patriotism ya enzi za nyerere japo kwa robo moja.Tunahitaji kiongozi mzalendo mwenye maono,machungu,na uwezo wa kuongoza Taifa letu katika kipindi cha hatari na neema.
Tunahitaji kujenga uchumi wetu,kuimarisha majeshi yetu,kuyapa zana za kisasa ili kuwa tayari kukabiliana na mtu yeyote yule atakaye thubutu kutushambulia.
Wembe.