Majeshi washirika wa US waiangusha ndege ya Syria

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
24,038
23,350
Wanachokitafuta watakipata!!

US-led coalition downed Syrian army plane in southern Raqqa countryside - army statement
==
detail:
Syria-based journalist Alaa Ebrahim told RT he believes that, by downing the Syrian jet, Washington is aiming to redraw “red lines” in the Syrian conflict and show that it won’t tolerate the involvement of the Syrian government’s armed forces in the liberation of Raqqa.
US-led coalition downs Syrian army plane in southern Raqqa
===

“The Americans don’t want the Syrian army to advance towards Deir ez-Zor, they don’t want the Syrian army to actually be present as part of the operation to retake Raqqa or to take any part of the Raqqa province,” Ebrahim said.

“The US is trying to draw boundaries in the Syrian conflict and red lines for the Syrian army not to cross them,” he added.

The journalist believes that the Syrian Army might go to great lengths to challenge the US strategy in Raqqa, as there are considerable concerns as to the outcome of the battle should the city eventually fall into the hands of the US-backed Kurdish-led SDF forces.
=======
UPDATE 4

Moscow is still waiting for an explanation from Washington about the downing of a Syrian warplane, the Russian Foreign minister has said after talks with his French counterpart Jean-Yves Le Drian. Sergey Lavrov also expressed hope that US actions won’t undermine anti-terrorist efforts in Syria.

US coalition still owes explanation over downing of Syrian warplane – Lavrov
======
UPDATE 3

The Royal Australian Air Force (RAAF) has suspended flights over Syria after Russia said it halted sky incident prevention interactions with the US as of June 19, due to the coalition’s downing of a Damascus warplane.

Australia halts air strikes in Syria after Russia-US tensions over downed Damascus jet

=====
UPDATE 2
In areas where Russian aviation is conducting combat missions in the Syrian skies, any flying objects, including jets and unmanned aerial vehicles of the international coalition discovered west of the Euphrates River will be followed by Russian air and ground defenses as air targets,” the ministry announced.

Any Aircraft of US-led Coalition Discovered West Of Euphrates River Will Be Followed By Russian Air And Ground Defenses As Targets

====
UPDATE 1
Russian military halts Syria sky incident prevention interactions with US as of June 19 – Moscow

====
UPDATE 0

Moscow views the US-led coalition’s attack on the Syrian government military jet as an act of aggression and assistance for the terrorists that the US is fighting against, according to Russian Deputy Foreign Minister Sergey Ryabkov.
“What is it then, if not an act of aggression, an act directly in breach of international law,” Ryabkov told journalists in Moscow.
“If you want, it’s actually help for the terrorists the US is fighting, declaring that they are conducting a counterterrorism policy,” the official added

US-led coalition’s downing of Syrian plane ‘act of aggression’ & ‘support for terrorists’ – Moscow
===
 
marekani na ndugu zake wameitungua ndege ya jeshi la syria chapa su-22 nje kidogo ya mji wa raqqa..jeshi la marekan limesema ndege hio ya syria ilikua inawashambulia washirika wake wa kikurdi ambaio kwa sasa wako kwenye offensive kuukomboa mji wa huo toka kwa IS/
Kwa upande wake jeshi la syria limekanusha kuwa limeshambulia washirika wa marekan na kusema na wao walikua wakishambulia IS na kuongeza kuwa nchi yao inanyanyaswa na marekani
marekani inasma ilijaribu kuionya ndege hio kwa kuwasiliana na urusi iitaarifu isitekeleze mashambulizi lakin ndege hio ilikaidi ndipo na wao wakatuma ndege yao chapa F-18 super hornet

maxresdefault.jpg

iaina ya ndege ilioangushwa su-22

Boeing-FA-18F-USN-2010-JOW-1S.jpg

aina ya ndege iliongusha mwensake F-18 SUPER HORNET

US-led coalition downs Syrian army plane in southern Raqqa

U.S. says it downed Syrian warplane that attacked U.S.-backed fighters
U.S. aircraft shoots down a Syrian government jet over northern Syria, Pentagon says
 
Hivi US kwann anavamia nchi za watu , bila ya kibali ? Hapo hautosikia UN ukiongea chochote

Akili zako ni ndigo hata huwezi kuongelea suala la Marekani. Wewe ongelea makinikia tu. Saizi yako ni kuenda kuvamia migodi iliyotolewa kwa wawekezaji na serikali yako, huku ukiishangilia serikali, halafu papohapo unataka kuandamana kuipongeza serikali. Ninyi ndio wale mnakufa na umaskini huku mkiipigia makofi ccm iliyoasisi usmkini wenu huku mkiwatukana watu kama Lisu waliopiga kelele kwa miaka zaidi ya 20 kuhusu misingi w awizi wa raslmiali za taifa. Wale wanaotaka tatitzo la wizi wa mali asili lianzie kwenye kung'oa mizizi na siyokukata matawi, ndio mnawaita watetezi wa wizi. upumbavue mtupu. Wewe hicho ndicho kiwango chako.
marekani na ndugu zake wameitungua ndege ya jeshi la syria chapa su-22 nje kidogo ya mji wa raqqa..jeshi la marekan limesema ndege hio ya syria ilikua inawashambulia washirika wake wa kikurdi ambaio kwa sasa wako kwenye offensive kuukomboa mji wa huo toka kwa wazee wa kazi IS/
Kwa upande wake jeshi la syria limekanusha kuwa limeshambulia washirika wa marekan na kusema na wao walikua wakishambulia IS na kuongeza kuwa nchi yao inanyanyaswa na marekani
marekani inasma ilijaribu kuionya ndege hio kwa kuwasiliana na urusi iitaarifu isitekeleze mashambulizi lakin ndege hio ilikaidi ndipo na wao wakatuma ndege yao chapa F-18 super hornet

maxresdefault.jpg

iaina ya ndege ilioangushwa su-22

Boeing-FA-18F-USN-2010-JOW-1S.jpg

aina ya ndege iliongusha mwensake F-18 SUPER HORNET

US-led coalition downs Syrian army plane in southern Raqqa

U.S. says it downed Syrian warplane that attacked U.S.-backed fighters
U.S. aircraft shoots down a Syrian government jet over northern Syria, Pentagon says

Wewe ulitaka wasaidizi wa ukombozi kule syria washambuliwe?

Na kumbe hamuoni hata hiavyo vita vya miarabu kuchinjana inavyoathri dunia sasa imefika hadi Kibiti?

Raqqa ni eneo la vita, na huwezi kuwa na akli timamu ukatetea mambo ya Ragga unless wewe ni inbred.
 
Hapa sijiu adui ni nani. Inanikumbusha ushairi wa Okot b Bitek aliposema:

while the pythons of sickness swallows the children,
and the buffalo of poverty knock the people down,
and ignorance stands there as an elephant,
the war leaders are tightly closed in blood feuds,
eating each others river
 
Akili zako ni ndigo hata huwezi kuongelea suala la Marekani. Wewe ongelea makinikia tu. Saizi yako ni kuenda kuvamia migodi iliyotolewa kwa wawekezaji na serikali yako, huku ukiishangilia serikali, halafu papohapo unataka kuandamana kuipongeza serikali. Ninyi ndio wale mnakufa na umaskini huku mkiipigia makofi ccm iliyoasisi usmkini wenu huku mkiwatukana watu kama Lisu waliopiga kelele kwa miaka zaidi ya 20 kuhusu misingi w awizi wa raslmiali za taifa. Wale wanaotaka tatitzo la wizi wa mali asili lianzie kwenye kung'oa mizizi na siyokukata matawi, ndio mnawaita watetezi wa wizi. upumbavue mtupu. Wewe hicho ndicho kiwango chako.

Wewe ulitaka wasaidizi wa ukombozi kule syria washambuliwe?

Na kumbe hamuoni hata hiavyo vita vya miarabu kuchinjana inavyoathri dunia sasa imefika hadi Kibiti?

Raqqa ni eneo la vita, na huwezi kuwa na akli timamu ukatetea mambo ya Ragga unless wewe ni inbred.
Mkuu mbona havihusiani na jamaa alivyouliza???
 
Hapo walikua wanafanya majaribio ndege ipi inauwezo mkubwa na yenye uwezo wa kumtunguabmwenzake.. Hzo no vita vya kitechnologia.. ukijumlisha na hasira za meli yao ya vita iliyogongwa na meli ya mizigo its obvious kitu kama hcho kingetokea.. Na kilichowacost syria ni uzoef kwenye kutumia hzo ndege bora hlo eneo wangetumia mapilot wa urusi
 
Back
Top Bottom