Huo ni uchochezi!! Hapa kwetu inatakiwa kuunga mkono kwa kusifu na kuabudu
shikamoo fundi
Usiwe na wasiwasi wewe lala tu, achana na huyo Kijana aliyekupa taarifa ni mchochezi na wamemtia ndani
Inapumuwa, upande mmoja ushaenda chini, subiri upande mwingine..!
Hii ufa wake ulitokana na expansion joint yake kuzidiwa na watoto kumuokoa mama yao aliyekuwa akipigwa na baba yao kwenye kona.Katika family civil engineering haina tatizo inarekebishika.